RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
WFH policy itarudi.Milio kila kona
Umejenga mkuranga
Kazi mjini
WFH policy itarudi.Milio kila kona
Umejenga mkuranga
Kazi mjini
Kama Mwigulu alivyosemaga tuyafuate BurundiTrump kasema muyafate iran
Watu wapaki magari tu hakuna namnaMilio kila kona
Umejenga mkuranga
Kazi mjini
Hata wasipo shabikia vita ingepiganwa tu. Pia kumbuka hizo bei zinachangiwa pia na kodi kubwa ya serikali kwa kila lita moja ya mafuta.Kuna wajinga wajinga humu JF walikuwa wanashabikia Marekani na Israel kuishambulia Iran
Na bado bei ya mbolea kupanda
Mkuu serikali inaweza kupunguza kodi ambacho huchaji kwa kila lita,,bei zitakuwa chini.Kilichofanya bei za mafuta zipande ni Israel-U.S kuivamia Iran,kama wewe ni mkristo wa kweli huwezi lalamika bei zipande,
Hata biblia ulisema aliye pamoja na Israel atabarikiwa,hata Israel ikiruhusu ushoga,genocide,war,conflicts,land thieves,.....ikitokea ukisupport tu UNABARIKIWA
Upo sawa serikali inaweza punguza Kodi Ili viongozi wa serikali wapande dalalala kama wapiga kura wao maana wana huruma sana viongozi wa Tanzania,si unajua ma V8 yao yanakunywa sana mafuta🤣😆🙏👊Mkuu serikali inaweza kupunguza kodi ambacho huchaji kwa kila lita,,bei zitakuwa chini.
GT Mzee MALCOM LUMUMBA alitoa uchambuzi bora kabisa kuhusu ushabiki maandazi tena ,akaenda mbali zaidi na kuwaita jina la "Madunya na Mabazazi"Kuna wajinga wajinga humu JF walikuwa wanashabikia Marekani na Israel kuishambulia Iran
Na bado bei ya mbolea kupanda
Na wewe ukawaamini 🤣Si walisema mafuta yapo ya miezi mitatu
Sasa bila kupunguza SI ndio ingefika Elfu 10?Kupunguza tozo kwenye mafuta ili kupunguza makali ya bei ya mafuta ni wazo zuri lakini pia huenda likawa suluhisho la muda mfupi tu
Kama bei za mafuta kwenye soko ka dunia zitazidi kupanda hizo tozo hata zikiondolewa zote haitakuwa na faida yoyote.
Imagine unanunua mafuta Tshs. 5,000/L na hakuna tozo yoyote itakuwa imesaidia chochote?
Cha muhimu mlango bahari ufunguliwe kwa sasa
Si kweliKilichofanya bei za mafuta zipande ni Israel-U.S kuivamia Iran,kama wewe ni mkristo wa kweli huwezi lalamika bei zipande,
Hata biblia ulisema aliye pamoja na Israel atabarikiwa,hata Israel ikiruhusu ushoga,genocide,war,conflicts,land thieves,.....ikitokea ukisupport tu UNABARIKIWA
Kwa sasa tunshitaji suluhu ya muda mfupi, huku tukitizama upepo.Kupunguza tozo kwenye mafuta ili kupunguza makali ya bei ya mafuta ni wazo zuri lakini pia huenda likawa suluhisho la muda mfupi tu
Kama bei za mafuta kwenye soko ka dunia zitazidi kupanda hizo tozo hata zikiondolewa zote haitakuwa na faida yoyote.
Imagine unanunua mafuta Tshs. 5,000/L na hakuna tozo yoyote itakuwa imesaidia chochote?
Cha muhimu mlango bahari ufunguliwe kwa sasa
Ushabiki maandazi kwenye vita unachangiaje kupanda kwa bei?? Au ungemzuia USA na Israel kumvamia Irani kwa kutokuwa mshabiki maandazi??? Tufafanulie please,GT Mzee MALCOM LUMUMBA alitoa uchambuzi bora kabisa kuhusu ushabiki maandazi tena ,akaenda mbali zaidi na kuwaita jina la "Madunya na Mabazazi"
sasa kama wenye dunia wameamua wabondane, sie wengine tuamue vipi? Ni kushabikia tu upande mmojawapo, wabondane tani yao mpaka mbabe apatikaneKuna wajinga wajinga humu JF walikuwa wanashabikia Marekani na Israel kuishambulia Iran
Na bado bei ya mbolea kupanda
strait of hormuz ipo open, ni kwamba kuna toll,Kila jumatano ya kwanza ya mwezi Ewura wanatoa bei mpya,audha ipande au ishuke. This time kwasababu ya vita imepanda. Bei nyingine mpya ni mpaka jumatano ya kwanza ya May. Hopeful Hormuz strait itakuwa open.