HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,192
- 3,486
Matokeo
Sawa.strait of hormuz ipo open, ni kwamba kuna toll,
Echolima1 ana stock kubwa ya mafuta yatasaidia..Kuna wajinga wajinga humu JF walikuwa wanashabikia Marekani na Israel kuishambulia Iran
Na bado bei ya mbolea kupanda
Ujinga tu unasumbua watu ushabikie usishabikie Iran ilikuwa lazima apigwe tu maana hakuna namna nyingine!!Echolima na mzee wa milipuko mikubwa. Mnafurahia kuona mabomu yanalipuka sasa mtalipa gharama nyie kunguni weusi.
Na bado mwezi ujao mzigo utazidi kuwa mzito.
Na ikifika 10,000 bila tozo?Sasa bila kupunguza SI ndio ingefika Elfu 10?
Sioni serikali yenu sikivu ikipunguza tozo. Acha tuone next months soko litasemajeKwa sasa tunshitaji suluhu ya muda mfupi, huku tukitizama upepo.
Na hii ni bora zaidi
Acha inyeshe tuone panapovuja!!Na ikifika 10,000 bila tozo?
Sawa ila ndio pale inasemwa ngumi za panzi zinazoumia nyasisasa kama wenye dunia wameamua wabondane, sie wengine tuamue vipi? Ni kushabikia tu upande mmojawapo, wabondane tani yao mpaka mbabe apatikane
Labda usikivu wa makalioni, hawana usikivu wowote tu, hawa na akili za trump zimekosana kidoogo sana, huwa kuna kauli wanatoa unaona kabisa anaeambiwa wanahisi ni mjinga saana.Sioni serikali yenu sikivu ikipunguza tozo. Acha tuone next months soko litasemaje
Serikali haiwezi kuganya hivyo,maana Taasisi kama Ewura inajiendesha yenyewe kwa tozo zinazotokana na mafuta.Sioni serikali yenu sikivu ikipunguza tozo. Acha tuone next months soko litasemaje
Wafia dini na walokole watapita hii komenti kama wanaaga maiti.Kilichofanya bei za mafuta zipande ni Israel-U.S kuivamia Iran,kama wewe ni mkristo wa kweli huwezi lalamika bei zipande,
Hata biblia ulisema aliye pamoja na Israel atabarikiwa,hata Israel ikiruhusu ushoga,genocide,war,conflicts,land thieves,.....ikitokea ukisupport tu UNABARIKIWA
Je hayo mafuta ya 5000/ yakiwekwa tozo yatakuwa na Bei ile ile?Kupunguza tozo kwenye mafuta ili kupunguza makali ya bei ya mafuta ni wazo zuri lakini pia huenda likawa suluhisho la muda mfupi tu
Kama bei za mafuta kwenye soko ka dunia zitazidi kupanda hizo tozo hata zikiondolewa zote haitakuwa na faida yoyote.
Imagine unanunua mafuta Tshs. 5,000/L na hakuna tozo yoyote itakuwa imesaidia chochote?
Cha muhimu mlango bahari ufunguliwe kwa sasa
Umeelewa?Je hayo mafuta ya 5000/ yakiwekwa tozo yatakuwa na Bei ile ile?
Umeelewa?
"Imagine unanunua mafuta Tshs. 5,000/L na hakuna tozo yoyote itakuwa imesaidia chochote?"Umeelewa?
Bado haujanielewa"Imagine unanunua mafuta Tshs. 5,000/L na hakuna tozo yoyote itakuwa imesaidia chochote?"
Kama mafuta yanauzwa 5000/- ukiweka tozo ndani yake Bei yake itakuwa zaidi ya 6000/-+ huoni hapo Kuna tofauti