Milio kila kona
Umejenga mkuranga
Kazi mjini
Wenyewe huwa mnasema 'NIKO KWANGU' 😀😀😀Umeamua kutusema
Fafanua hoja yako,Bado haujanielewa
Wadanganyika tumeishazoea kukamuliwa. Ngoja mafisi ya CCM yatukamue hadi akili zikae sawaDar es salaam sasa mafuta ni 3820 kwa lita na mikoa mingine imefika mpaka 4060 kwa lita ya Petroli.
Tunakubali kuwa vita zimechangia mfumuko huu wa bei lakini serkali ina kodi na tozo nyingi mno kwenye mafuta, kwa nini iangushe mzigo wote kwa mlaji huku yenyewe ikiendelea kupata makusanyo.
Na hatutaki mapunguzo ya kisiasa ya asilimia 2, Bunge lilete emergency resolution ya kusamisha kodi na tozo za mafuta kiujumla mpaka mgogoro uishe, hapo ndipo mseme kuwa nyinyi ni bunge la wananchi.
View attachment 3565457
View attachment 3565458View attachment 3565459View attachment 3565460
Narudia tena hatutaki mapunguzo ya kishkaji ya asilimia 2 au 10, Kodi na Tozo zisimamishwe mwananchi apumue
Kunasiku nilisema hapa hii vita itatugharimu sana hasa sisi watembeza Bakuli, kuna mahala tutafika hatuta amini macho yetu gharama zitakuwa juu kuzidi kipato cha mtu mmoja mmoja. Ni jambo la hatari sana hasa kwa jinsi linavyochukuliwa na walio shika mamlaka.Kuna wajinga wajinga humu JF walikuwa wanashabikia Marekani na Israel kuishambulia Iran
Na bado bei ya mbolea kupanda
Nani yuko tayari kuthubutu? aonekane anapingana na mamlaka?
Tuombe Mungu sana hawa wakubwa wamalize mzozo huu ikiendelea hivi mpaka mwezi wa 10 huko tutakuwa kubaya zaidi
1)ONE currency pesa moja digital currency..ambapo hutaweza kununua wala kuuza bila hiyo(micro chip --chapa ya mnyama 666 chapa ya shetani.
inaanza na kuanguka vibaya kwa US Petrol dollar
US dollar haitatumika tena kununulia petrol.
itatumika fedha mpya kwa itakayokubaliwa na muunganiko wa nchi kadhaa zilizoshikilia uchumi wa mafuta ya petrol na nguvu zilizo kinyume na US dollar.
Dhahabu itatumika mbadala wa fedha...utajiri wa nchi na thamani ya pesa ya nchi yoyote itathaminishwa na hifadhi ya hazina yake ya dhahabu iliyonayo
ndio maana unaona kila nchi yenye akili ina kusanya dhahabu kwa wingi..kwa sababu huko mbeleni ..makaratasi ya fedha yatakuwa hayana thamani naada ya US DOLLAR KUANGUSHWA VIBAYA SANA.
2)KITABU cha BIBLIA TAKATIFU na UKRISTO utapigwa marufuku na waumini wa KIKRISTO wataanza kipitia mateso ..ili waikane imani yao...dhiki kuu ..kama ulivyo ona naijeria ..wakristo na imani yao watakuwa prosecuted...
kwa sababu imani ya KIKRISTO na BIBLIA inapingana kabisa na mipango yao yote yote ya kishetani..waliyoia jina kama maendeleo ya sayansi utandawazi teknolojia ,ukisasa na HAKI ZA KIBINADAMU
mfano sheria za mahusiano
1)USHOGA na ufiraji ..ndoa za watu wa jinsia moja UPINDE
yote wanayotaka kuyafanya yaliyo shambi biblia imeyakataza hivyo wataona hiyo imani ni kikwazo kwao.
DHIKI KUU
vita vya tatu vya dunia,vita vya nyuklia,majanga ya kiasili,njaa,magonjwa,ukatili na maovu kuongeka
UNYAKUO WA WATAKATIFU UMEKARIBIA...mwenye kuvymilia hata mwisho mpaka mwisho ndiye atakaye okolewa.
Hakuna kitu kibaya kama serikali kuendesha wananchi Kwa uongo uongo.Na wewe ukawaamini 🤣
Ni JANGA kubwa serikali kuwa mikononi mwa WACHUMIA TUMBO..Hakuna kitu kibaya kama serikali kuendesha wananchi Kwa uongo uongo.
Wananchi wamekosa kabisa Imani na serikali yao kutokana na mfumo nzima uliopo
Kuna wajinga wajinga humu JF walikuwa wanashabikia Marekani na Israel kuishambulia Iran
Na bado bei ya mbolea kupanda