Bei mpya za mafuta ni janga, Serikali punguzeni kodi za mafuta Wananchi wapumue

Kilichofanya bei za mafuta zipande ni Israel-U.S kuivamia Iran,kama wewe ni mkristo wa kweli huwezi lalamika bei zipande,
Hata biblia ilisema aliye pamoja na Israel atabarikiwa,hata Israel iruhusu ushoga,genocide,war,conflicts,land thieves,..... ukiisupport tu UNABARIKIWA
 
Kuna wajinga wajinga humu JF walikuwa wanashabikia Marekani na Israel kuishambulia Iran

Na bado bei ya mbolea kupanda
Hata wasipo shabikia vita ingepiganwa tu. Pia kumbuka hizo bei zinachangiwa pia na kodi kubwa ya serikali kwa kila lita moja ya mafuta.
 
Mkuu serikali inaweza kupunguza kodi ambacho huchaji kwa kila lita,,bei zitakuwa chini.
 
Sasa bila kupunguza SI ndio ingefika Elfu 10?
 
Si kweli
 
Kwa sasa tunshitaji suluhu ya muda mfupi, huku tukitizama upepo.

Na hii ni bora zaidi
 
GT Mzee MALCOM LUMUMBA alitoa uchambuzi bora kabisa kuhusu ushabiki maandazi tena ,akaenda mbali zaidi na kuwaita jina la "Madunya na Mabazazi"
Ushabiki maandazi kwenye vita unachangiaje kupanda kwa bei?? Au ungemzuia USA na Israel kumvamia Irani kwa kutokuwa mshabiki maandazi??? Tufafanulie please,

Hoja za kipumbavu kabisa,USA amevamia kwa interest zake,,mnataka kuwapa lawama washabiki badala ya kupambana na USA kama mnaweza kumzuia asiendelee na vita.


Mfano mi sijawahi shabikia vita,ila nalazimika kulipia hizo gharama za mafuta zilizo panda
 
Kila jumatano ya kwanza ya mwezi Ewura wanatoa bei mpya,audha ipande au ishuke. This time kwasababu ya vita imepanda. Bei nyingine mpya ni mpaka jumatano ya kwanza ya May. Hopeful Hormuz strait itakuwa open.
strait of hormuz ipo open, ni kwamba kuna toll,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…