Bei mpya za mafuta ni janga, Serikali punguzeni kodi za mafuta Wananchi wapumue

BAISKELI ZITAPANDA BEI SANA .

wanaofuga farasi na punda ndio zitakuwa daladala.

ndio mwanzo wa dhiki kuu

vita vya tatu vya dunia

unyakuo kurudi kwa Yesu mara ya pili.

Mwanzo wa ule mwisho.

HALI ITAENDELEA KUWA MBAYA KILA LEO/KILA KESHO ITAKUWA AFADHALI YA JANA.
 
1)ONE currency pesa moja digital currency..ambapo hutaweza kununua wala kuuza bila hiyo(micro chip --chapa ya mnyama 666 chapa ya shetani.

inaanza na kuanguka vibaya kwa US Petrol dollar

US dollar haitatumika tena kununulia petrol.

itatumika fedha mpya kwa itakayokubaliwa na muunganiko wa nchi kadhaa zilizoshikilia uchumi wa mafuta ya petrol na nguvu zilizo kinyume na US dollar.

Dhahabu itatumika mbadala wa fedha...utajiri wa nchi na thamani ya pesa ya nchi yoyote itathaminishwa na hifadhi ya hazina yake ya dhahabu iliyonayo

ndio maana unaona kila nchi yenye akili ina kusanya dhahabu kwa wingi..kwa sababu huko mbeleni ..makaratasi ya fedha yatakuwa hayana thamani naada ya US DOLLAR KUANGUSHWA VIBAYA SANA.


2)KITABU cha BIBLIA TAKATIFU na UKRISTO utapigwa marufuku na waumini wa KIKRISTO wataanza kipitia mateso ..ili waikane imani yao...dhiki kuu ..kama ulivyo ona naijeria ..wakristo na imani yao watakuwa prosecuted...

kwa sababu imani ya KIKRISTO na BIBLIA inapingana kabisa na mipango yao yote yote ya kishetani..waliyoia jina kama maendeleo ya sayansi utandawazi teknolojia ,ukisasa na HAKI ZA KIBINADAMU

mfano sheria za mahusiano
1)USHOGA na ufiraji ..ndoa za watu wa jinsia moja UPINDE
yote wanayotaka kuyafanya yaliyo shambi biblia imeyakataza hivyo wataona hiyo imani ni kikwazo kwao.

DHIKI KUU

vita vya tatu vya dunia,vita vya nyuklia,majanga ya kiasili,njaa,magonjwa,ukatili na maovu kuongeka

UNYAKUO WA WATAKATIFU UMEKARIBIA...mwenye kuvymilia hata mwisho mpaka mwisho ndiye atakaye okolewa.
 
Wadanganyika tumeishazoea kukamuliwa. Ngoja mafisi ya CCM yatukamue hadi akili zikae sawa
 


Kuwezekana inawezekana, shida ni uthubutu
 
Kuna wajinga wajinga humu JF walikuwa wanashabikia Marekani na Israel kuishambulia Iran

Na bado bei ya mbolea kupanda
Kunasiku nilisema hapa hii vita itatugharimu sana hasa sisi watembeza Bakuli, kuna mahala tutafika hatuta amini macho yetu gharama zitakuwa juu kuzidi kipato cha mtu mmoja mmoja. Ni jambo la hatari sana hasa kwa jinsi linavyochukuliwa na walio shika mamlaka.
Kuna ule msemo WABOBEZI ktk uchimi wako wapi ktk kuishauri mamamlaka juu ya uhimilivu wa uchumi kwa wananchi? Tuombe Mungu sana hawa wakubwa wamalize mzozo huu ikiendelea hivi mpaka mwezi wa 10 huko tutakuwa kubaya zaidi.
 
Mtoa maada! Ni bunge hili hili ndiyo litoe emergecency solution?! 😁😁😁😁.
Bunge siyo mhimili wenye mamlaka tena bali ishakuwa taasisi ya serikali.

Hakitatokea kitu bunge limesema cha kuikosoa serikali haijalishi ni kibaya au kizuri. Wabunge waliopo hapo siyo kwa ajili ya wananchi, wapo kwa ajili ya serikali, kujadili mbinu za kuiba pesa za walipa kodi na kukera wananchi.

Wabunge wamewekwa na serikali siyo wananchi lazima wawe upande wa serikali.
 

View: https://youtu.be/9co0eN5LubQ?si=eH-ZjU4EqPV228ex
 
Hakuna kitu kibaya kama serikali kuendesha wananchi Kwa uongo uongo.
Wananchi wamekosa kabisa Imani na serikali yao kutokana na mfumo nzima uliopo
Ni JANGA kubwa serikali kuwa mikononi mwa WACHUMIA TUMBO..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…