Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha..Kuna hizi TV za kampuni mpya ya Alitop naona Zina Bei ndogo Hadi naogopa ingawa napenda vya Bei rahisi, kama Kuna aliezitumia anihakikishie ubora wake.
Asante kwa kushea uzoefAlitop changamoto sn kwny quality ya picha na kuvumilia umeme
Picha yake ukiongeza brightness, rangi zinapotea, inakua kama vile unaangalia black&white.
Ule umeme wa kukatika na kurudi ghafla alitop hazivumilii, Isipoungua taa za backlight basi itachora mstari.
Kwa uzoefu wangu,
Tv ya bei ndogo isiyosumbua mpk sasa ni GOODVISION, Tangu nmeanza kuziuza 2018 mpk sasa 2023 sijapata kimeo hata moja, hata kwa mafundi sijaona screpa yake hata moja.
Pamoja mkuu[emoji106]Asante kwa kushea uzoef
Size gani izo GOODVISION na bei ?Alitop changamoto sn kwny quality ya picha na kuvumilia umeme
Picha yake ukiongeza brightness, rangi zinapotea, inakua kama vile unaangalia black&white.
Ule umeme wa kukatika na kurudi ghafla alitop hazivumilii, Isipoungua taa za backlight basi itachora mstari.
Kwa uzoefu wangu,
Tv ya bei ndogo isiyosumbua mpk sasa ni GOODVISION, Tangu nmeanza kuziuza 2018 mpk sasa 2023 sijapata kimeo hata moja, hata kwa mafundi sijaona screpa yake hata moja.
Tlc na hisense copy nyng sn mjiniWeka sample. Kwa Mchina jaribu TLC na Hisense basi.
Inategemea,Size gani izo GOODVISION na bei ?
Ilitakiwa akatake ushauri wapi ili iwe hajapotea?Unataka ushauri jf, umepotea ndugu
Tlc na hisense copy nyng sn mjini
Akienda kichwa kichwa anauziwa copy kwa bei ya OG
43Inategemea,
Wanatoa kuanzia size 19-55
Acha kumpoteza mtu mkuu sio muda wote watu wanaongea pumba....take noteUnataka ushauri jf, umepotea ndugu
43" Led DOUBLE GLASS = 470,000
Shukrani boss43" Led DOUBLE GLASS = 470,000
43" Smart DOUBLE GLASS= 500,000
Bei hiyo ukiwa mkoa gani mkuu!!?43" Led DOUBLE GLASS = 470,000
43" Smart DOUBLE GLASS= 500,000