jannelle
JF-Expert Member
- Feb 8, 2020
- 824
- 1,581
Hey, naona zimekuwa adimu hizi Homebase & goodvision, inch 43 bei gani nowAlitop changamoto sn kwny quality ya picha na kuvumilia umeme
Picha yake ukiongeza brightness, rangi zinapotea, inakua kama vile unaangalia black&white.
Ule umeme wa kukatika na kurudi ghafla alitop hazivumilii, Isipoungua taa za backlight basi itachora mstari.
Kwa uzoefu wangu,
Tv ya bei ndogo isiyosumbua mpk sasa ni GOODVISION, Tangu nmeanza kuziuza 2018 mpk sasa 2023 sijapata kimeo hata moja, hata kwa mafundi sijaona screpa yake hata moja.