Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

Hiyo 230k ni bei ya mkorea mwenyewe supplier mkuu wa goodvision kwa wateja wake wa jumla tu.

Tena hiyo 230k ni bei ya leo asbh saa 4 tumetumiwa kwny group, kabla ya hapo, Bei ya Goddvision smart double jumla ilkua 250K.

Hakuna mteja yyt wa rejareja anaweza kununua hiyo tv kwa bei hiyo ya 230k,

Nmeambatanisha na ushahidi wa bei ZA jumla nilizotumiwa leo asbh saa 4, Goodvision iyo apo kwny green.

IZO BEI NYNGN NMEFICHA KUWALINDA WAFANYABIASHRA WA REJAREJA HUMU MANA HIZI BEI NI SIRI YA SUPLLIER NA WANUNUZI WA JUMLA TU[emoji116]View attachment 2612201
Na mzigo nishachukua tayr made in Korea kwa 230k
 

Attachments

  • Screenshot_2023-05-06_173624.jpg
    Screenshot_2023-05-06_173624.jpg
    96.7 KB · Views: 36
  • Screenshot_2023-05-06_173614.jpg
    Screenshot_2023-05-06_173614.jpg
    111.4 KB · Views: 36
Home base sio tv ya bei rahisi mkuu,

Hawa HOMEBASE wanatoa vitu vyao origino na bei zao ni mkasi japo hawana jina na hawapendi kujipa promo sana.

Wana wateja wao royal wanaotaka vitu vyao bila kujiuliza mara mbili mbili kama ilivyo kwa wale jamaa wa KODTEC

Hawa HOMEBASE ndio wenye sabufa brand ya SEAPIANO,

Kama uliwahi tumia sabufa hizo utakubaliana na mimi kua HOMEBASE vitu vyao ni orijino.
Usichanganye maneno original na imara. Unaweza tumia brand og lkn sio imara. Shida zaidi ukute brand X sio og halafu tena sio imara. Utujuta aisee
 
mkuu DeepPond kama hujali naomba jibu la comment # 111
Friji nzuri kwa hiyo budget zipo nyng mkuu,
Inategemea na mapendekezo na mazingira yako.

Unataka ya biashara au matumizi ya familia?

Unataka yenye portion ya freezer au friji tupu?

Unataka yenye water dispenser au haina haja ya dispenser?

Unapendelea friji lenye showcase au unataka yenye privacy?

Nasubir jibu mkuu
 
Alitop changamoto sn kwny quality ya picha na kuvumilia umeme

Picha yake ukiongeza brightness, rangi zinapotea, inakua kama vile unaangalia black&white.

Ule umeme wa kukatika na kurudi ghafla alitop hazivumilii, Isipoungua taa za backlight basi itachora mstari.

Kwa uzoefu wangu,
Tv ya bei ndogo isiyosumbua mpk sasa ni GOODVISION, Tangu nmeanza kuziuza 2018 mpk sasa 2023 sijapata kimeo hata moja, hata kwa mafundi sijaona screpa yake hata moja.
Nchi 43 unauzaje
 
Back
Top Bottom