Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

Pia nilisahau,
shukran sn kunikumbusha,
Hawa singsung vitu vyao orijino sana.

Mwanzon walikuja kama vopy ya samsung, wakafeli sana, baadae wakaboresha mno.

BIDHAA ZA SINGSUNG NI OG mno

Changamotp yao kwny tv,
Hawatoi double screen, wenye familia, watoto,sebule ndogo zenye movement sana ni changamoto sana.

Zinapasuka sana vioo.
Hao jamaa ni zaidi ya ORIGINALLY aisee
Shida sizioni bidhaa zao sasa hivi
Mwaka juzi nilibahatisha sehemu inch 43" sikukununua 7bu haikuwa SMART mm napenda sana TV iwe na Screem mirroring sasa wao option hiyo haawakuwa nayo nilipoikuta hiyo
 
Alitop changamoto sn kwny quality ya picha na kuvumilia umeme

Picha yake ukiongeza brightness, rangi zinapotea, inakua kama vile unaangalia black&white.

Ule umeme wa kukatika na kurudi ghafla alitop hazivumilii, Isipoungua taa za backlight basi itachora mstari.

Kwa uzoefu wangu,
Tv ya bei ndogo isiyosumbua mpk sasa ni GOODVISION, Tangu nmeanza kuziuza 2018 mpk sasa 2023 sijapata kimeo hata moja, hata kwa mafundi sijaona screpa yake hata moja.
Hata solamax iko powa sana. Alitop na itel sina imann nazo kabisa
 
Nimeona mpaka ITEL na bei ni cheap mpaka zinatisha japo zina vutia sana
 
Goodvision smart TV ni 230000 32inch ukibisha uwe na ushaid(double glass)
Hiyo 230k ni bei ya mkorea mwenyewe supplier mkuu wa goodvision kwa wateja wake wa jumla tu.

Tena hiyo 230k ni bei ya leo asbh saa 4 tumetumiwa kwny group, kabla ya hapo, Bei ya Goddvision smart double jumla ilkua 250K.

Hakuna mteja yyt wa rejareja anaweza kununua hiyo tv kwa bei hiyo ya 230k,

Nmeambatanisha na ushahidi wa bei ZA jumla nilizotumiwa leo asbh saa 4, Goodvision iyo apo kwny green.

IZO BEI NYNGN NMEFICHA KUWALINDA WAFANYABIASHRA WA REJAREJA HUMU MANA HIZI BEI NI SIRI YA SUPLLIER NA WANUNUZI WA JUMLA TU[emoji116]
2023-05-06-17-17-41.jpg
 
Hata solamax iko powa sana. Alitop na itel sina imann nazo kabisa
Solar max sijawahi kuwaelewa kabisa,
Enzi hizo hawajaanza kuuza tv, nmeuza sana bidhaa zao nyngn, ziliponisumbua nikawahama mazima.
 
Itel uimara wake sijui,
Nmeziuza kipind flan, kwa mtizamo wangu
Ila hazina mng'ao mzur wa picha japo design yao ya tv imetulia sana hasa zile frameless
Ahaa! Kwenye mng'ao wa picha ukiipambanisha na TLC ipi ina nafuu! Nimeona hizo frameless mahala zimenichanganya sana muonekano wake
 
Star-x vipi unaizungumziaje na 43 inch ni bei gani
Star x nzur nmeona ni zile zinazotokea dubai, zinauzwa sana kule zanzibari.

Hizi zinazotokea china direct to dsm zimekaa kifeki feki sana na hazina quality nzuri ya picha.

Hat bei zake ziko tofauti,
Za dubai/zanzibar ziko juu kdg kuliko za china/dar japo zote ni made in CHINA.
 
Back
Top Bottom