Friji ni kwa ajili ya matumizi ya familia,Friji nzuri kwa hiyo budget zipo nyng mkuu,
Inategemea na mapendekezo na mazingira yako.
Unataka ya biashara au matumizi ya familia?
Unataka yenye portion ya freezer au friji tupu?
Unataka yenye water dispenser au haina haja ya dispenser?
Unapendelea friji lenye showcase au unataka yenye privacy?
Nasubir jibu mkuu
portion ya freezer ni muhimu,water dispenser sio lazima ila ni bonus. Iwe ya privacy lakini pia iwe na nafasi kubwa ndani.