Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

Mkuu vipi kwa upande wa Friji,naona hisense zimezagaa sana mtaani na bei nafuu kulinganisha na brand za LG,Samsung nk...naomba kujua ubora wa friji za Hisense za kuanzia 1 million.
Bidhaa nyng za HISENSE Zemye bei kitonga ni brand za china na southafrica

Hisense ya UK ina bei sawa na LG au samsung ya korea
 
Umekaa nayo muda gani?
Homebase vitu vyao orijino sana,

Hapa vitu vidg vidg mbali na tv ni imara sana kuanzia sabufa,flash,friji,deki,blender n.k.

Changamoto yao
wanafanya biashara kimwinyi sana
Hawajipromote, kubembeleza wateja wala kushusha bei wala nini.

Unahela nunua,
Huna ela tembea zako kanunue brand nyngn.

Wana sabufa zao za seapiano,
Quality sana, zinapiga mziki balaa na bei yake mkasi ukilinganisha na nyngn.

Wanaziuza wanavojiskia,
Wanaleta mzigo kidg sana,
Mzigo unaisha kabla haujafika,
mnabaki kulanguana nyie kwa nyie.

Na wateja bado wanataka
 
Inategemea na budget yake na kipaumbele chake, either quality ya picha,uimara wa tv au matumizi yake kutokana na mazingira yake.
Okei mfn bajeti ni 500-700k
Iwe na quality nzuri ya picha iwe na uwezo wa kudumu na stressful environment like kukatika umeme, radi pia nch iuanzia 50 kwenda mbele

Sio mzoefu sana kwa hizi mambo mwaya we nishauri tu 😃
 
Okei mfn bajeti ni 500-700k
Iwe na quality nzuri ya picha iwe na uwezo wa kudumu na stressful environment like kukatika umeme, radi pia nch iuanzia 50 kwenda mbele

Sio mzoefu sana kwa hizi mambo mwaya we nishauri tu [emoji2]
Mazingira uliyopo yana watoto?
Una sebule ndogo yenye movement nyngi?
Una matumizi ya internet kwa kutumia TV?
 
Back
Top Bottom