Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Nimekusoma bro. Umetisha sana.Tlc na hisense copy nyng sn mjini
Akienda kichwa kichwa anauziwa copy kwa bei ya OG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekusoma bro. Umetisha sana.Tlc na hisense copy nyng sn mjini
Akienda kichwa kichwa anauziwa copy kwa bei ya OG
Umekaa nayo muda gani?Chukua Home base....utakuja kunishukuru badae View attachment 2612044
Mwaka wa 3 huuUmekaa nayo muda gani?
Walichoharibu HISENSE TM ni tamaa ya kutoa licence tofauti tofauti za assemblyLed TV zote ni moja tu, zina lifetime, kuandikwa hisense, alitop na majina mengine mengi, wanaandika kwa urahisi mno. Sidhani kama hisense TM, original wanafahamu haya ya wajasiriamali wa kichina.
DarBei hiyo ukiwa mkoa gani mkuu!!?
Wee ni muongo,Ninayo tAngu 2015 till today na inapga kAzit
Bas jamaa mikoani wanapiga hela sana jamaa inch 42 alipigwa 740000/= nzega pale KWA charz!!
Alitop changamoto sn kwny quality ya picha na kuvumilia umeme
Picha yake ukiongeza brightness, rangi zinapotea, inakua kama vile unaangalia black&white.
Ule umeme wa kukatika na kurudi ghafla alitop hazivumilii, Isipoungua taa za backlight basi itachora mstari.
Kwa uzoefu wangu,
Tv ya bei ndogo isiyosumbua mpk sasa ni GOODVISION, Tangu nmeanza kuziuza 2018 mpk sasa 2023 sijapata kimeo hata moja, hata kwa mafundi sijaona screpa yake hata moja.
Binafsi Sijaziona sokoni LG za kichina mkuu, LG nnazozijua sokoni ni made in POLAND,KOREA na UK.Je LG za kichina ubora wake?
Kwa mamaJ ipo 32" Goodvision tangu 2020 mpk leo,inapiga kazi. Sijapata malalamiko ya wateja khs tv zao.Bro uko sahihi. Uvutii kwako ila unasema ukweli mtupu.
Nilinunua Goodvision kale kadogo kamwisho nikaweka ofisini kwangu adi leo ina quality ile ile since 2019 adi leo ipo pouwa sana
Kwa mamaJ ipo 32" Goodvision tangu 2020 mpk leo,inapiga kazi. Sijapata malalamiko ya wateja khs tv zao.
Hawa wakorea kiukwel wanajitahidi
Home base sio tv ya bei rahisi mkuu,Chukua Home base....utakuja kunishukuru badae View attachment 2612044
Pamoja mkuuNitakutembelea nipate ingine ka home ngoja nijipange kidogo utanipa location
55' ya Goodvision kiasi gani chief?Inategemea,
Wanatoa kuanzia size 19-55
970,000 mkuu55' ya Goodvision kiasi gani chief?
shukran sana.970,000 mkuu
Mkuu vipi kwa upande wa Friji,naona hisense zimezagaa sana mtaani na bei nafuu kulinganisha na brand za LG,Samsung nk...naomba kujua ubora wa friji za Hisense za kuanzia 1 million.Alitop changamoto sn kwny quality ya picha na kuvumilia umeme