Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

Hey, naona zimekuwa adimu hizi Homebase & goodvision, inch 43 bei gani now
 
Kuna tofauti ipi kati ya tv ya box leupe na ya box la kaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…