Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zote mbwembwe mambo ya familia na walinzi wapi na wapi we nenda direct na mada zako sasa wewe 30000 unaona ndogo kwenye bandle chenga sanaWala!!
Nipo tena sana, maana wote naona hamna mwenye IQ ya kuelewa hii ripoti, kila mmoja ametiririka yale yale ya ofa za makampuni ya kimitandao.
Tukizungumza kuhusu ofa, yaani hata ndio msiongee maana hapa mimi nachezea internet bila kikomo nalipa kwa mwezi 1,500 za Kenya, hizo ni kama Tshs 30,000
Bila kikomo ina maana nafanya chochote, download za kila aina, natazama movies na pia nimegawa kama WIFI familia yote wameunga vifaa vyao, na walinzi kwenye estate huwa tumewaruhusu waunge pia.
Hizo zote mbwembwe mambo ya familia na walinzi wapi na wapi we nenda direct na mada zako sasa wewe 30000 unaona ndogo kwenye bandle chenga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kilaza Sana, alafu ina maana familia na walinzi hawawezi kumudu kununua bando ndio maana anawapa Wi-Fi yake 😂😂😂Hizo zote mbwembwe mambo ya familia na walinzi wapi na wapi we nenda direct na mada zako sasa wewe 30000 unaona ndogo kwenye bandle chenga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa Kenya kila wanachofanya lazima wachungulie kwanza kwa Tz. Wakati wa Tz hawana habari na malofa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanachofuta mzungu kasema haangalii yeye anaumiaje au anafaidikaje mzungu kwenye data hata akisema Tanzania GB1 elfu 10 Tsh juu yake c kaamua kusema muache aseme lakini mm cm yangu haijawahi kukaa dakika 5 bila ya bando . Na kama Tanzania GB 1 sawa na $5 na watanzania bado wanakesha kwenye mitandao bc watanzania wana Pesa sana kuliko wakenyaUnapoteza muda wako bure yaani hiyo 2.7USD mnapata 1GB? Na wakati kwetu ni more than 3GB! Kweli wakenya mnakazi
Hizi taarifa zinahitaji akili kuzielewa, usijibu kwa kuwaza kuhusu offers na vifurushi vya makampuni.
Ndugu zetu mko nyuma sana, huwa mumechelewa kupita maelezo.
Average price of 1GB
Kenya - $2.73
Tanzania - $5.93
Uganda - $4.69
Worldwide Mobile Data Pricing 2023 | 1GB Cost in 237 Countries
A global league table of mobile data costs. The average cost of one gigabyte (1GB) compared from over 5,600 mobile data plans in 237 countries.www.cable.co.uk
Wewe shabikia taarifa za mzungu huku watu wanakula uroda na kukesha mtandaoni kwa gharama na fuu mpaka inapelekea kina diamond kuna wasanii wakubwa wakitegemea soko mtandaoniNarudia tena, kajifunze nini maana ya bila kikomo au unlimited kwa kingereza ambacho huwa hamkijui, ndio maana hata hii ripoti imewashinda kuelewa.
mpaka jana tarehe 14 december 2019 tsh 2000 ilikuwa ni sawa na usd 0.87.
fahamu tu kwamba tsh 2000 ndio bei rasmi ya 1GB kwa mitandao karibia yote ya simu inayotoa huduma za internet nchini.
hiyo $5.93 ambayo ni sawa na
tsh 13,623.58 kwa 1GB sijui wewe na hicho chanzo chako mumeitoa wapi.
najua umenizidi umri, ila kwa hili acha tu niseme wewe ni mtu mzima kilaza.
have a peaceful sunday budaa.
View attachment 1293118View attachment 1293119
huo uzi naufahamu, hauna tofauti na uzi uliouanzisha wewe.Kwa bahati nzuri nimeona kuna Mtanzania amefungua uzi kuhusu ili, na humo kuna wataalam ambao wameelewa huu utafiti kitaalam wametolea maelezo, naomba uende huko utajifunza kitu, check link hii hapa
Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?
Bei za internet ya wastani kwa Tanzania na baadhi ya nchi zinazotuzunguka ni kama ifuatavyo: Source: Worldwide mobile data pricing: The cost of 1GB of mobile data in 230 countries Reference: Worldwide Mobile Data Pricing League | Cost of 1GB in 230 countries - Cable.co.uk Hivi TCRA wanaweza...www.jamiiforums.com
huo uzi naufahamu, hauna tofauti na uzi uliouanzisha wewe.
wewe na yule mtz aliyeanzisha ule uzi wote ni wakurupukakaji na ndio maana karibia wachangiaji wengi wa ule uzi wanatoa hoja kinzani.
Nenda shule wewe kwanza ujue aina za viunganishiNarudia tena, kajifunze nini maana ya bila kikomo au unlimited kwa kingereza ambacho huwa hamkijui, ndio maana hata hii ripoti imewashinda kuelewa.
Mkenya unajisikia kuongea English kuliko hata mwingereza mwenyewe. Si mjivunie lugha zenu? Ushamba mzigoNarudia tena, kajifunze nini maana ya bila kikomo au unlimited kwa kingereza ambacho huwa hamkijui, ndio maana hata hii ripoti imewashinda kuelewa.
Ndugu ule uzi ulianzishwa kiushabiki wa kisiasa. Huku kwetu baadhi yetu tuna tabia ya kulalamika mno kwa kila kitu kinachosimamiwa na taasisi ya serikali au serikali yenyewe.Kuna tofauti kubwa sana baina ya hizi nyuzi mbili, huu hapa nyote mnajibu kishabiki bila kutulia msome na kuelewa nini kinajadiliwa kwenye huu utafiti, ila ule uzi kule umechanganyikana, kuna wataalam ambao wameelewa kiundani na wanatoa maelezo, ila humo pia kuna aina yenu ambao hamjui kusoma data za kiutafiti, mnakimbilia kujibu kizembe bila kushirikisha ubongo au kutumia muda wenu kusoma kwanza.
Mkenya unajisikia kuongea English kuliko hata mwingereza mwenyewe. Si mjivunie lugha zenu? Ushamba mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
huo uzi naufahamu, hauna tofauti na uzi uliouanzisha wewe.
wewe na yule mtz aliyeanzisha ule uzi wote ni wakurupukakaji na ndio maana karibia wachangiaji wengi wa ule uzi wanatoa hoja kinzani.
MK254 achana na data feki njoo Arusha ule maisha. Wenzio kibao wamekuja toka Kenya kula mema ya Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
uzuri katika uzi huu hata wale watz wasiofurahishwa na utawala wa magufuli wamekupuuza.Kuna tofauti kubwa sana baina ya hizi nyuzi mbili.