Bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya Kenya

Bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya Kenya

Wala!!
Nipo tena sana, maana wote naona hamna mwenye IQ ya kuelewa hii ripoti, kila mmoja ametiririka yale yale ya ofa za makampuni ya kimitandao.
Tukizungumza kuhusu ofa, yaani hata ndio msiongee maana hapa mimi nachezea internet bila kikomo nalipa kwa mwezi 1,500 za Kenya, hizo ni kama Tshs 30,000
Bila kikomo ina maana nafanya chochote, download za kila aina, natazama movies na pia nimegawa kama WIFI familia yote wameunga vifaa vyao, na walinzi kwenye estate huwa tumewaruhusu waunge pia.
Hizo zote mbwembwe mambo ya familia na walinzi wapi na wapi we nenda direct na mada zako sasa wewe 30000 unaona ndogo kwenye bandle chenga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo zote mbwembwe mambo ya familia na walinzi wapi na wapi we nenda direct na mada zako sasa wewe 30000 unaona ndogo kwenye bandle chenga sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Narudia tena, kajifunze nini maana ya bila kikomo au unlimited kwa kingereza ambacho huwa hamkijui, ndio maana hata hii ripoti imewashinda kuelewa.
 
Unajua wakenya wana akili ya wale baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi utasikia afadhali mm nimepata 15% kuliko Fulani kapata 8% tu amesahau kama kila mtu kaletwa na mzaziwake tena cku tofauti
Wa Kenya kila wanachofanya lazima wachungulie kwanza kwa Tz. Wakati wa Tz hawana habari na malofa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoteza muda wako bure yaani hiyo 2.7USD mnapata 1GB? Na wakati kwetu ni more than 3GB! Kweli wakenya mnakazi
Hawa wanachofuta mzungu kasema haangalii yeye anaumiaje au anafaidikaje mzungu kwenye data hata akisema Tanzania GB1 elfu 10 Tsh juu yake c kaamua kusema muache aseme lakini mm cm yangu haijawahi kukaa dakika 5 bila ya bando . Na kama Tanzania GB 1 sawa na $5 na watanzania bado wanakesha kwenye mitandao bc watanzania wana Pesa sana kuliko wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi taarifa zinahitaji akili kuzielewa, usijibu kwa kuwaza kuhusu offers na vifurushi vya makampuni.

Ndugu zetu mko nyuma sana, huwa mumechelewa kupita maelezo.

Average price of 1GB
Kenya - $2.73
Tanzania - $5.93
Uganda - $4.69

mpaka jana tarehe 14 december 2019 tsh 2000 ilikuwa ni sawa na usd 0.87.

fahamu tu kwamba tsh 2000 ndio bei rasmi ya 1GB kwa mitandao karibia yote ya simu inayotoa huduma za internet nchini.

hiyo $5.93 ambayo ni sawa na
tsh 13,623.58 kwa 1GB sijui wewe na hicho chanzo chako mumeitoa wapi.
najua umenizidi umri, ila kwa hili acha tu niseme wewe ni mtu mzima kilaza.

have a peaceful sunday budaa.

IMG_20191215_140758.jpeg
IMG_20191215_142055.jpeg
 
Narudia tena, kajifunze nini maana ya bila kikomo au unlimited kwa kingereza ambacho huwa hamkijui, ndio maana hata hii ripoti imewashinda kuelewa.
Wewe shabikia taarifa za mzungu huku watu wanakula uroda na kukesha mtandaoni kwa gharama na fuu mpaka inapelekea kina diamond kuna wasanii wakubwa wakitegemea soko mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpaka jana tarehe 14 december 2019 tsh 2000 ilikuwa ni sawa na usd 0.87.

fahamu tu kwamba tsh 2000 ndio bei rasmi ya 1GB kwa mitandao karibia yote ya simu inayotoa huduma za internet nchini.

hiyo $5.93 ambayo ni sawa na
tsh 13,623.58 kwa 1GB sijui wewe na hicho chanzo chako mumeitoa wapi.
najua umenizidi umri, ila kwa hili acha tu niseme wewe ni mtu mzima kilaza.

have a peaceful sunday budaa.

View attachment 1293118View attachment 1293119

Kwa bahati nzuri nimeona kuna Mtanzania amefungua uzi kuhusu ili, na humo kuna wataalam ambao wameelewa huu utafiti kitaalam wametolea maelezo, naomba uende huko utajifunza kitu, check link hii hapa

Kwa bahati nzuri nimeona kuna Mtanzania amefungua uzi kuhusu ili, na humo kuna wataalam ambao wameelewa huu utafiti kitaalam wametolea maelezo, naomba uende huko utajifunza kitu, check link hii hapa

huo uzi naufahamu, hauna tofauti na uzi uliouanzisha wewe.

wewe na yule mtz aliyeanzisha ule uzi wote ni wakurupukakaji na ndio maana karibia wachangiaji wengi wa ule uzi wanatoa hoja kinzani.
 
huo uzi naufahamu, hauna tofauti na uzi uliouanzisha wewe.

wewe na yule mtz aliyeanzisha ule uzi wote ni wakurupukakaji na ndio maana karibia wachangiaji wengi wa ule uzi wanatoa hoja kinzani.

Kuna tofauti kubwa sana baina ya hizi nyuzi mbili, huu hapa nyote mnajibu kishabiki bila kutulia msome na kuelewa nini kinajadiliwa kwenye huu utafiti, ila ule uzi kule umechanganyikana, kuna wataalam ambao wameelewa kiundani na wanatoa maelezo, ila humo pia kuna aina yenu ambao hamjui kusoma data za kiutafiti, mnakimbilia kujibu kizembe bila kushirikisha ubongo au kutumia muda wenu kusoma kwanza.
 
Ndugu ule uzi ulianzishwa kiushabiki wa kisiasa. Huku kwetu baadhi yetu tuna tabia ya kulalamika mno kwa kila kitu kinachosimamiwa na taasisi ya serikali au serikali yenyewe.
Kwa ufupi nimesoma nyuzi zote mbili. Huo utafiti sijui umetumia njia zipi ili kufikia hitimisho. Inawezekana ikawa Ni kweli kwamba kuna gharama kubwa ikiwa mtu hajajiunga vifurushi, lakini watanzania wengi hawatumii data bila bundle. Utakuwa ni upumbavu wa kiwango cha juu kununua kitu cha ubora na thamani ileile kwa gharama kubwa wakati kuna options za gharama ndogo.
Kwa kuhitimisha huo utafiti si sahihi kwa sababu haujakamilika kutokana na kuwa data zake hazijajitosheleza.
 
Mkenya unajisikia kuongea English kuliko hata mwingereza mwenyewe. Si mjivunie lugha zenu? Ushamba mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app

Majibu yenu kwenye huu uzi ni dhihirisho tosha jinsi kingereza kinawatesa, na kitawatesa sana hadi kwa mkulu. Hayo matangazo Dar ya 'jifunze kingereza kwa miezi mitatu' hayatawafaidi kitu maana nyie wenyewe ni wazembe tu.
 
huo uzi naufahamu, hauna tofauti na uzi uliouanzisha wewe.

wewe na yule mtz aliyeanzisha ule uzi wote ni wakurupukakaji na ndio maana karibia wachangiaji wengi wa ule uzi wanatoa hoja kinzani.

Niljua huyu kilaza wa kupuuzwa angepost, alafu anabishana na wananchi wenyewe wanaolipa hizo charges, the irony.
 
MK254 achana na data feki njoo Arusha ule maisha. Wenzio kibao wamekuja toka Kenya kula mema ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio desturi yetu Wakenya, tunajituma kisha tunakula bata msimu huu, tutatalii kote kote, kwa sasa hivi tiketi za SGR zimeisha kwa mwezi wote, mahoteli yamekua fully booked, kote hadi Naivasha mpaka Pwani nenda mpaka Zanzibar uje hadi Arusha.
Tatizo nyie haya mambo hayapo kwenu, niliona eti kundi la Watanzania kukwea mlima Kilimanjaro inakua habari za kitaifa kila siku inajadiliwa..
 
Back
Top Bottom