UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwahiyo uwe na shukrani.Naona Leo hawajakata kabisa kumbe tusikilize chama cha mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo uwe na shukrani.Naona Leo hawajakata kabisa kumbe tusikilize chama cha mbuzi
Hili ndilo tatizo la vijana wa aina yako, ufinyu wa mawazo na akili. Hivi mfano wewe upewe walau kata uiongoze kuna kitu utafanya kweli??Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Mimi siwezi kushangaa kwa sababu ubunifu wao kwenye kutafuta vyanzo vipya vya mapato umefikia mwisho...Juzi nimepata hizo taarifa Ila nilipuuza kumbe kuna ukweli aisee maana hata bei ya kuunganisha umeme itapanda kuanzia mwakani hizi habari zimezagaa Sana mtaani
Kabla kufika huko EWURA nani huwa analianzisha? EWURA is just formalities pale ambapo maamuzi yameshafanyika...Umeme hauwezi panda bei bila EWURA kutangaza kwenye magazeti ili wananchi wajadili.
Wakishajadili ndio maamuzi hufanyika
Na pia bei haiwezi kuwa hiyo milele
Nchi hiii lazima uwe na vitu 2: Uwe na solar yako ya uhakika na pili uwe na kisima chako cha maji cha uhakika..Nawaza kuna haja ya mtu kufunga solar panel tu unavuna umeme wako wa jua wa kutosha! Ukijifungia na kagenerator kadogo in case solar ikizungua kazi imeisha!!
Huu ujinga sijui wanaupata wapi? Umeme wenyewe unapatikana kwa taabu tena watupandishie bei?
Tudai tu katiba mpya kuna haja ya viongozi kuwajibisha kwa kuwatesa watanzania!!
Mwanachama wa MAMBUZI.Kwani Waziri wa Nishati jina lake nani !.
Tundu Lissu a.k.a mzee wa mikataba.Sijamsikia tundulissu akisema tuna raisi wa hovyo kuwahi kutokea, haya yote yanafanyika amekaa kimya kama bubu kiziwi.
Sasa naelewa kwann vijana wa magufuri walifanya yao maana huyu si mtu ambaye anajua masilahi ya taifa. Ana masilahi yake binafsi.