mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Uwongo au uzushi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unanitukana mkuu kosa langu kumtaja Lissu?Hii mimba aliyokutia Lissu inakutesa sana kama vipi ichoropoe tu.
Tumeambiwa tuwe na shukurani mkuu.wamemaliza kikao chao jana wanaendelea kupongezana huku maisha yakizidi kuwa magumu kwa watanzania wakiambiwa nchi imewashinda wanakuja juu kweli kweli, kimsingi miafrika hatuna akili kabisa , yaani nchi imebakia kusifiana tuuuuuuuuu, mambo hayaendi hali ngumu, ukifika huko vijijini ndio kabisaaaa , sijui huko mbele itakuaje , majenereta yananguruma tu mjini mafuta yanapanda kila uchao hatua hazichukuliwi wanawapa majibu mepesi tu eti vita vya Ukraine
Haka ka picha nimekapenda ila najiuliza pa kukatunza!
Ulitaka tufanye nini? Hii nchi ni ya ccm wao ndio wenye nchi yao, Tanzania ni kama mali yao ya urithi na ndio maana wanasema kama unaona hutaki wanayoyafanya basi hama nchi nenda Burundi huko vinginevyo uwe na shukurani kwa hicho wanachokufanyia.Ila sisi watanzania tumezidi kuwa wajinga aisee,nchi zote zilizotuzunguka hakuna ujinga kama unaofanywa na ccm hapa tz,rejea kauli za kejeli za mzee makamba jana kwa waandishi wa habari
Wataguswa mpaka duara kimya. kweli wtz ni maiti zinazotembeaHuwa nasema tutegemee mabaya zaidi.. Sababu kila wakitugusa tuko kimya, mtu unaguswa shavu unacheka, unaguswa hivi unacheka mwishowe unashikwa tako.
Yani wajinyime wao kwa sababu yetu sie?Hili wala sio tetesi ndio akili za kipara na maharage. Japo hali itaendelea kuwa ngumu sana kwa wananchi. Hivi kwanini serikali isipunguze sherehe,vikao, misafara na hata vyeo ili ikusanywe hela.
Ndio wenye nchi yao mkuu sasa wewe utafanya nini?Safi sana si watanzania tumekua malofa tunapelekwa pelekwa tu na chama mfu CCM
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Usiwe unatoa taarifa ambazo hazijathibitishwa. Ulichokifanya hapa ni kosa. Kumbuka taarifa hii inaweza kuzua taharuki kwa jamii. Kama mlikuwa mnapiga story zibakie kuwa story usiziweke public. Ujifunze namna bora ya kutumia uhuru wako wa kujieleza. Ulitakiwa ushibitishe tetesi zako kwa njia sahihi ya kiofisi. Ndipo ulete humuKuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january
Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa
Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena
Nimedokezwa sababu ya kupandishwa ni ili kuifanya Tanesco iweze kuijendesha kwa ufanisi, kupunguza utegemezi kutoka Serikalini na pia kuweza kulipa madeni yake
My take:Zile habari za umeme siku moja kushuka zilizikwa Chato, lengo la bwawa la Nyerere lilikua ni likikamilika units zishuke zaidi ya sasa wenzetu Ethiopia bei ya unit ni Tsh 16 ambapo inaifanya Ethiopia kuwa miongoni mwa mataifa yenye umeme wa bei chee Africa na duniani
Mnaambiwa muwe na shukurani, hii nchi ni mali ya ccm mnayofanyiwa nyinyi ni huruma yao tu.Na kwa jinsi tulivyo tutaishia kulalamika siku 3 then tunamwachia Mungu.
Hii Nchi aliyeturoga angefanya mpango atuzindue. Serikali Haina huruma na Wananchi wake
Atafanya nini sasa? Sio hajashtuka ila hana cha kufanya.Kuna mtu anamchonganisha mama na wanachi waziwazi na maza hajastuka mchongo
M mwenyewe nimeipenda sana natamani ningemjua mchoraji nimpe zawadi yakeHaka ka picha nimekapenda ila najiuliza pa kukatunza!
Kwani hanganya alisema vipi alipoukua anaelezea kupanda bei Kwa vitu alisema vitu vitapanda sanaa Kwa hio tusishangae January na genge lake wakipandishaKuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january
Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa
Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena
Nimedokezwa sababu ya kupandishwa ni ili kuifanya Tanesco iweze kuijendesha kwa ufanisi, kupunguza utegemezi kutoka Serikalini na pia kuweza kulipa madeni yake
My take: Zile habari za umeme siku moja kushuka zilizikwa Chato, lengo la bwawa la Nyerere lilikua ni likikamilika units zishuke zaidi ya sasa wenzetu Ethiopia bei ya unit ni Tsh 16 ambapo inaifanya Ethiopia kuwa miongoni mwa mataifa yenye umeme wa bei chee Africa na duniani