jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Zenji ndio wanasababisha yote haya..habilipi deni vinatumia umeme bure..mzigo wanatupiwa watanganyika.Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january
Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa
Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena
Nimedokezwa sababu ya kupandishwa ni ili kuifanya Tanesco iweze kuijendesha kwa ufanisi, kupunguza utegemezi kutoka Serikalini na pia kuweza kulipa madeni yake
My take:Zile habari za umeme siku moja kushuka zilizikwa Chato, lengo la bwawa la Nyerere lilikua ni likikamilika units zishuke zaidi ya sasa wenzetu Ethiopia bei ya unit ni Tsh 16 ambapo inaifanya Ethiopia kuwa miongoni mwa mataifa yenye umeme wa bei chee Africa na duniani
Katika zama hizi za kupambana na matumizi ya mkaa na kuni umeme ulipaswa kuwa ndio nishat ya bei rahisi.
#MaendeleoHayanaChama