Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

Mh Januari naelewa Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa

Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena
Safi hapo tutauza sana solar
 
Haya ni matunda ya sera mbovu za Ujamaa zilizoletwa na Nyerere
Kama ingekua tunaweza kumfufua mtu alafu tumpe adhabu Kwa alioyafanya huyu Mzee Nyerere ilibidi tumfufue tumchape bakora nyingi sanaaa katuharibia sanaa nchi kuliko kuitengeneza na yeye ndio muasisi wa hawa wezi
 
Gesi imepanda bei sio? 😂😂😂😂, IPTL HOYEEEEEEEE, R.I.P VIWANDAA.

Mkitaka kusikia serikali inapinduliwa.., ndio huanza kama hivi..
 
Mnaambiwa muwe na shukurani, hii nchi ni mali ya ccm mnayofanyiwa nyinyi ni huruma yao tu.
Kwahiyo wafanye au wasifanye ni sawa tu 😢.

Ndiyo maana hawana huruma na Kodi zetu 😢
 
Pia kuna tetesi ya kuwa mwezi wa kwanza gharama za umeme zinapanda na kufika 800 000 kutoka 320,000
 
Kwahiyo wafanye au wasifanye ni sawa tu 😢.

Ndiyo maana hawana huruma na Kodi zetu 😢
Sie kama wapangaji tu kwenye nyumba tunalipa kodi ila huwezi kumpangia mwenye nyumba matumizi ya kodi unayolipa ni pesa yake, kwani we huwa husikii rais katoa kiasi kadhaa kujenga kitu fulani? Kwahiyo jukumu letu ni kulipa kodi tu kwenye nyumba ya kupanga na sio kumpangia mwenye nyumba, kama hatutaki tuhamie Burundi au tuwe na shukurani.
 
Wakipandidgs wahakikishe na umeme upo costant wasituletee mambo ya kizamani kukatakata umeme
 
Sie kama wapangaji tu kwenye nyumba tunalipa kodi ila huwezi kumpangia mwenye nyumba matumizi ya kodi unayolipa ni pesa yake, kwani we huwa husikii rais katoa kiasi kadhaa kujenga kitu fulani? Kwahiyo jukumu letu ni kulipa kodi tu kwenye nyumba ya kupanga na sio kumpangia mwenye nyumba, kama hatutaki tuhamie Burundi au tuwe na shukurani.
Ndiyo maana Kuna baadhi ya watu wanasema Nchi haikuwa tayari kupata Uhuru.

Bora tungechelewa kama ilivyo Afrika Kusini huenda tungekuwa mbali kimaendeleo.

Mwl Nyerere hakuwa na succession plan ya Uongozi wake, angekuwa ameandaa Viongozi hata wa Miaka 50 baada yake huenda tungekuwa mbali.
 
CCM CCM CCM, ipo siku Mungu atasikia vilio vyetu. Kupandisha kwa gharama za umeme inamaana na gharama za bidhaa zitaongezeka. Uwekezaji utapungua nchi itazidi kuwa maskini.

sio chama cha ccm kibaya ni mtu anaekuja kuongoza ndio anakuwa mbaya makufuli alikuwa ccm lakini tuliteremshiwa vitu vingi umeme kufunga umeme elfu 27 tu badala ya laki tatu unusu kodi ya majengo elfu 10 tu badala ya elfu 80 stica za ovyo ovyo kwenye magari yakaondolewa kama stica ya fire road licence ushuru kwa wakulima mambo mengi aliondoa nae alikuwa ccm tumpate majaliwa kasim bila hivyo tutaendelea kulia katiba utafikiri katiba ndio italeta unafuu wa maisha
 
Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january

Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa

Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena

Nimedokezwa sababu ya kupandishwa ni ili kuifanya Tanesco iweze kuijendesha kwa ufanisi, kupunguza utegemezi kutoka Serikalini na pia kuweza kulipa madeni yake

My take:Zile habari za umeme siku moja kushuka zilizikwa Chato, lengo la bwawa la Nyerere lilikua ni likikamilika units zishuke zaidi ya sasa wenzetu Ethiopia bei ya unit ni Tsh 16 ambapo inaifanya Ethiopia kuwa miongoni mwa mataifa yenye umeme wa bei chee Africa na duniani
Ndugu mteja

Tafadhali usipotoshe wala kutoa taarifa zinazoleta tahahuriki kwa wateja wetu, taarifa sahihi zinatolewa na mamlaka husika kwa mabadiliko yeyote yatakayofanyika, tuendelee.kufurahia huduma bila hofu kuwa TANESCO ipo wazi kwa taarifa zozote
 
Attachments

  • db31fa34aca12d4d444d70d156d2b8f4.mp4
    118.6 KB
Ndugu mteja

Tafadhali usipotoshe wala kutoa taarifa zinazoleta tahahuriki kwa wateja wetu, taarifa sahihi zinatolewa na mamlaka husika kwa mabadiliko yeyote yatakayofanyika, tuendelee.kufurahia huduma bila hofu kuwa TANESCO ipo wazi kwa taarifa zozote
Vipi mkuu Leo mko off nini naona huku kwetu umeme bado upo
 
Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january

Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa

Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena

Nimedokezwa sababu ya kupandishwa ni ili kuifanya Tanesco iweze kuijendesha kwa ufanisi, kupunguza utegemezi kutoka Serikalini na pia kuweza kulipa madeni yake

My take:Zile habari za umeme siku moja kushuka zilizikwa Chato, lengo la bwawa la Nyerere lilikua ni likikamilika units zishuke zaidi ya sasa wenzetu Ethiopia bei ya unit ni Tsh 16 ambapo inaifanya Ethiopia kuwa miongoni mwa mataifa yenye umeme wa bei chee Africa na duniani
@ TANESCO
 
Back
Top Bottom