Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda

mafuta.PNG
 
Kwani hukumsikia mkurugenzi anasema bei ya mafuta ya sasa imetokea baada ya kununua mafuta ya mwezi June ambayo ndio yanayouzwa mwezi huu wa 7 hivyo bei ya mafuta itashuka baada ya wao kununua mafuta ya mwezi wa 8 yatakayouzwa September

Halafu mkutano walifanya Serena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Bongo nyoso
 
Bei inapopanda haraka sana wanapindisha inshort tokea April Bei ilikua imeanza kushuka
 
Kwani hukumsikia mkurugenzi anasema bei ya mafuta ya sasa imetokea baada ya kununua mafuta ya mwezi June ambayo ndio yanayouzwa mwezi huu wa 7 hivyo bei ya mafuta itashuka baada ya wao kununua mafuta ya mwezi wa 8 yatakayouzwa September

Halafu mkutano walifanya Serena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Bongo nyoso
Hawa watu wa ajabu Sana, kwanini wakati vita ya Ukraine na Russia inaanza bei za mafuta walipandisha na wakati mafuta yalinunuliwa kabla ya kupanda bei?
 
Ukiangalia kwa sehemu kubwa wamiliki wa vituo vya mafuta ni viongozi wengi serikali,na sehemu nyingine wana share na wafanyabiashara. Ndio maana wakitoka mbele wanakuwa waongo waongo kutembea matumbo Yao

Kwao ni bora sisi tuumie wao wanufaike,sisi ni takataka mbele yao.
Wanalipwa bure,wanakula bure,wanapata huduma zote za msingi kwa kuudumiwa na kodi zetu,ila ndio wanaendelea kutukandamiza.

Ipo siku isiyo na jina haya yatabaki historia,na hawa wanafanya na kujitapa watabaki historia. MUNGU yupo,tujipe muda.
 
Kwani hukumsikia mkurugenzi anasema bei ya mafuta ya sasa imetokea baada ya kununua mafuta ya mwezi June ambayo ndio yanayouzwa mwezi huu wa 7 hivyo bei ya mafuta itashuka baada ya wao kununua mafuta ya mwezi wa 8 yatakayouzwa September

Halafu mkutano walifanya Serena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Bongo nyoso
Na hapo bilion 100 za ruzuku ilianza mwez wa 6 na kutuambia mwezi huo bei ingeenda juu zaidi ila bilion hzo ndo zimepunguza gharama. Sa hv yashuke watuambie ni ya mwez wa 6
 
Msipende kupotosha,wamesema mwezi ujao mafuta yatashuka ila haya yanayotumika sasa yalinunuliwa kipindi Bei ikiwa juu.
HAHAHAA! Bilion 100 zilipoanza tukasena hv bilion ndo haka kapunguzo, jibu lilitoka kuwa bei ilistahili kupanda zaidi sku hiyo maana soko la dunia 1.6.2022 bei ilipanda. Sa hivi yameshuka mnakuja na ngonjera eti ni ya mwez wa 6 huko 😁
 
Ndio jibu hilo,wewe unataka jibu gani?
 
Ww unafiri hyo team ya big star wachezaji watalipwaje..
 
Msipende kupotosha,wamesema mwezi ujao mafuta yatashuka ila haya yanayotumika sasa yalinunuliwa kipindi Bei ikiwa juu.
Acha upumbavu mkuu, hii ni serious issue mkuu, yanapopanda yanapanda straight, Zambia bei mpya kuanzia 3rd August na bei chini, huu ni uzuzu
 
Back
Top Bottom