HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Shida ni kwamba hao wanaoitwa viongozi huko Serikalini ndio wafanyabiashara.Lazima tuumie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Business insider siyo ya mabeberu wale wa ulaya na America 🤔Kwani imefika Mahali wanatudanganya kama wote watoto,Tena makinda🚶Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
View attachment 2315145
Nimeona mahali umesema zambia, rwanda n.k bei ni 4000 za kitanzaia. Yaani mnajazana uongo dunia ya leo. Kenge nyie kuna siku mta
Ila ujue kenge hawaongei wala hawawezi kuandika 🤸
Tatizo la mgongano wa maslahi. Viongozi ndio haohao wenye biashara ya mafuta.Bei inapopanda haraka sana wanapindisha inshort tokea April Bei ilikua imeanza kushuka
Tusisumbuane,hamia kwenye Nchi mojawapo hapa Chini hata ikibidi Rwanda na Kenya ambako Bei ni nafuu ya Tanzania 👇Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
View attachment 2315145
Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
View attachment 2315145
Kwa hizi bei zao za kiboya wanazotupiga hata wangetaka kufanyia mkutano sayari nyingine wasingeshindwa. Awamu yao hii, wacha wale.Kwani hukumsikia mkurugenzi anasema bei ya mafuta ya sasa imetokea baada ya kununua mafuta ya mwezi June ambayo ndio yanayouzwa mwezi huu wa 7 hivyo bei ya mafuta itashuka baada ya wao kununua mafuta ya mwezi wa 8 yatakayouzwa September
Halafu mkutano walifanya Serena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Bongo nyoso
Na mkae mkijua hapa nchini bei ya bidhaa ikishapanda hata mafuta yakigawiwa bure bidhaa hazitoshuka kamwe !!Hawa watu wa ajabu Sana, kwanini wakati vita ya Ukraine na Russia inaanza bei za mafuta walipandisha na wakati mafuta yalinunuliwa kabla ya kupanda bei?
Kwani unguja mafuta wanatoa wapi? Mbona wao mpaka leo lita ni shilingi elfu mbili na.... haijafika elfu3?Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
View attachment 2315145
Hapo sasa !!Kwani unguja mafuta wanatoa wapi? Mbona wao mpaka leo lita ni shilingi elfu mbili na.... haijafika elfu3?
Wewe sasa ndo unatuvuruga! Walinunua bei ikiwa juu, lini? Tangu bei imeanza kupanda hapa nchini, haijawahi kushuka hata baada ya kudanganya na ruzuku ambayo kimsingi inaliwa tu.Msipende kupotosha,wamesema mwezi ujao mafuta yatashuka ila haya yanayotumika sasa yalinunuliwa kipindi Bei ikiwa juu.
Mafuta huwa yananuniliwa miezi 2 kabla,kwa mfano mafuta ya kutumika mwezi ujao yaliagizwa toka mwezi wa 7..ndio maana Ewura wamewaambia Bei zitapungua kidogo mwezi ujao..Wewe sasa ndo unatuvuruga! Walinunua bei ikiwa juu, lini? Tangu bei imeanza kupanda hapa nchini, haijawahi kushuka hata baada ya kudanganya na ruzuku ambayo kimsingi inaliwa tu.
Tunajua kuwa soko la dunia, zaidi ya miezi 2 sasa bei imeshuka.
Sasa wewe utuambie, stock ya nchi ina last for how long na bulk ya mwisho ambayo ndio tunayotumia sasa ililetwa lini ili tuone kama kuna justification ya kupandisha bei kwa zaidi ya sh 340 kwa lita ndani ya miezi 2 tu.
Bei inayoongezeka kila mwezi inatokana na nini ukilinganisha na stock iliyopo? Hiyo bidhaa itakayouzwa mwezi wa 8 imeshaingia nchini? Iliagizwa lini? Kwa bei gani imeagizwa ili tuone kama kweli kuna haja ya ruzuku au ndo wanachukua ili kuwahonga kina Uwoya?
Au serikali yenu nayo haina transparency na hasa kwenye hali ngumu kama hii?
Madili ya watu hayo mkuuHawa watu wa ajabu Sana, kwanini wakati vita ya Ukraine na Russia inaanza bei za mafuta walipandisha na wakati mafuta yalinunuliwa kabla ya kupanda bei?
Watajifanya kama hawakujuiMaajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
View attachment 2315145
Nchi zote ni landlockedTusisumbuane,hamia kwenye Nchi mojawapo hapa Chini hata ikibidi Rwanda na Kenya ambako Bei ni nafuu ya Tanzania 👇
Mafuta huwa yananuniliwa miezi 2 kabla,kwa mfano mafuta ya kutumika mwezi ujao yaliagizwa toka mwezi wa 7..ndio maana Ewura wamewaambia Bei zitapungua kidogo mwezi ujao..
Mafuta hayaagiswi kama kwenda Duka la Mangi.
Halafu linakuja humu, eti tuna mama. Tozo kama zote, mafuta juu, halafu yuko busy na safari.Ukiangalia kwa sehemu kubwa wamiliki wa vituo vya mafuta ni viongozi wengi serikali,na sehemu nyingine wana share na wafanyabiashara. Ndio maana wakitoka mbele wanakuwa waongo waongo kutembea matumbo Yao
Kwao ni bora sisi tuumie wao wanufaike,sisi ni takataka mbele yao.
Wanalipwa bure,wanakula bure,wanapata huduma zote za msingi kwa kuudumiwa na kodi zetu,ila ndio wanaendelea kutukandamiza.
Ipo siku isiyo na jina haya yatabaki historia,na hawa wanafanya na kujitapa watabaki historia. MUNGU yupo,tujipe muda.