Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

Tokea lini mambo ya serikali yakawa na uhakika...
 
Mafuta sio swala la muungano,kila Nchi ina sera tofauti,Bara kuna Kodi za miradi ya barabara,reli,Rea,Tarura nk kwenye mafuta.
Uwezo wako wa kuchakata vitu ni mdogo kama pilton. Unaweza onyesha wapi nimeongelea habari ya Muungano? Na kuhusu issue unayojaribu kuongelea kwamba mafuta ni si suala la Muungano, hiyo ni habari ya mafuta ghafi kwa maana ya (oil and gas drilling and extraction) Swali langu lilikuwa Zanzibar wanatoa wapi mafuta ambako Tanzania Bara hawawezi kwenda kununua na kushusha gharama? Bara mafuta yanaelekea elfu nne huku zanzibar tunauzia mafuta kwa Tsh 2980/= ni sahihi?
 
Kwani hukumsikia mkurugenzi anasema bei ya mafuta ya sasa imetokea baada ya kununua mafuta ya mwezi June ambayo ndio yanayouzwa mwezi huu wa 7 hivyo bei ya mafuta itashuka baada ya wao kununua mafuta ya mwezi wa 8 yatakayouzwa September

Halafu mkutano walifanya Serena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Bongo nyoso
Acha wivu mkuu...kamba yako fupi vumilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta sio swala la muungano,kila Nchi ina sera tofauti,Bara kuna Kodi za miradi ya barabara,reli,Rea,Tarura nk kwenye mafuta.
Wewe mara nyingi nakuaambia akili hauna. Unafanya wote tulio pro-government kuonekana hatuna akili.

Mafuta yote huagizwa kutoka nje, hoja ya huyo kwa nn zenj yawe nafuu kuliko huku. Ilipaswa kujibiwa kuwa zenj wao Kuna Kodi na levies hawana. Ni kama zilivyo nchi zingine zenye Bei ya chini kuliko huku
 
Kwani hukumsikia mkurugenzi anasema bei ya mafuta ya sasa imetokea baada ya kununua mafuta ya mwezi June ambayo ndio yanayouzwa mwezi huu wa 7 hivyo bei ya mafuta itashuka baada ya wao kununua mafuta ya mwezi wa 8 yatakayouzwa September

Halafu mkutano walifanya Serena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Bongo nyoso
Mbona hizi statements huwa hazipo kwenye upandishaji bei?

Nchi imepigwa albadir hii
 
Unapaswa kujua kuwa bei ya mafuta na mafuta tunayotumia huwa ni yaliyoagizwa miezi mitatu nyuma kwa mujibu wa utaratibu wa uagizaji wa mafuta wa pamoja unaoratibiwa na EWURA. Bei mpya impact yake unaweza kuiona miezi mitatu mbele
 
Utaratibu wa kishamba Sana huo, waubadilishe asap
 
Unapaswa kujua kuwa bei ya mafuta na mafuta tunayotumia huwa ni yaliyoagizwa miezi mitatu nyuma kwa mujibu wa utaratibu wa uagizaji wa mafuta wa pamoja unaoratibiwa na EWURA. Bei mpya impact yake unaweza kuiona miezi mitatu mbele
VP kwa Zanzibar mbona mafuta yao bei IPO chini kuliko sisi
 
VP kwa Zanzibar mbona mafuta yao bei IPO chini kuliko sisi
Ukitaka kufuatilia mambo ya wazanzibari utaumia kichwa comred imekaa kimuungano zaidi ili kuibeba/kuifavour zenji in terms of GDP. Bei ya vitu vingi kule iko chini ni kama tax free haven flani vile. Hata hivyo serikali inafanya hivyo kutokana na kipato cha watu wa zenji.

Pia mfanyabiashara ukitaka kufanya ujanja kutoa bidhaa kule kurudisha huku unakutana na rungu la kodi lile lile ulilokwepa hapa TRA. Bei ya sukari unaweza kuwa 4000 hapa kwa kg, na sukari hiyo hiyo ukaipata kwa 2700 zenji! Udumu muungano! Teh ...hapo kwenye muungano kuna vitu vingi vinafanywa kufunika funika kuifavour znz kutokuhoji baadhi ya kero za muungano....funika kombe mwanaharamu apitee...
 
Pale "kuna watu" tunaambiwa kazi yao ni kula cha juu
ndio maana wanang'ang'ania bulk procurement ili wale cha juu!
 
Mbona hizi statements huwa hazipo kwenye upandishaji bei?

Nchi imepigwa albadir hii
Hata Sasa hivi mafuta yakipanda kwenye soko la Dunia usiku huu na haya Mafuta yaliopo Nchini nayo yatapanda hapohapo!!
 
Mawaziri wote wanafanya biashara hivyo hata kama bei zitashushwa hawawezi kushusha Kwa sababu wanajua wapo Kwa mazombi 🏃🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom