JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,392
- 1,578
Wewe fuatilia kinacho endelea kwa sasa ndani ya nchi hii kila aina ya uhuni umerudi na kutamalaki chini ya SAMIA SULUHU HASSAN,wingi wa vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa sasa ni ishara tosha kuwa kundi Fulani limeamua kutesa watanzania.Sijui labda MUNGU Ataamua,tusubiri.Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
View attachment 2315145