Wewe fuatilia kinacho endelea kwa sasa ndani ya nchi hii kila aina ya uhuni umerudi na kutamalaki chini ya SAMIA SULUHU HASSAN,wingi wa vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa sasa ni ishara tosha kuwa kundi Fulani limeamua kutesa watanzania.Sijui labda MUNGU Ataamua,tusubiri.Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
View attachment 2315145
Najiuliza kati ya sisi na viongozi nani misukuleHata Sasa hivi mafuta yakipanda kwenye soko la Dunia usiku huu na haya Mafuta yaliopo Nchini nayo yatapanda hapohapo!!
Bei mpya Hadi Leo kimyaWewe fuatilia kinacho endelea kwa sasa ndani ya nchi hii kila aina ya uhuni umerudi na kutamalaki chini ya SAMIA SULUHU HASSAN,wingi wa vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa sasa ni ishara tosha kuwa kundi Fulani limeamua kutesa watanzania.Sijui labda MUNGU Ataamua,tusubiri.
Serikali ya kihuni iliyojaa wahuni watupu.Bei mpya Hadi Leo kimya
Hii ndio bongoBei mpya Hadi Leo kimya
Hakuna cha Ewura bei mpya ya mafuta wala nn ni michezo ya watu Fulani wapiga deal,mafisadi ambao siku zote ndio wameendelea kufilisi Taifa la Tanzania na kuwatesa watanzania jinsi watakavyo.Bei mpya Hadi Leo kimya
Bei mpya inatoka kila Jumatano ya mwanzo wa mwezi.Bei mpya Hadi Leo kimya