Hizo huduma unazo fwata kwa miguu huko dukani zinafikaje?? bidhaa,vyakula,pembejeo,.madawa vinasafirishwa!Naenda kwa Miguu
Lita au Gallon?Hapa NY petrol Lita ni 4$
Mimi siyo Mchumi wajameni mambo ya spill over effect au distribution value chain ...Mimi siyajuiHizo huduma unazo fwata kwa miguu huko dukani zinafikaje?? bidhaa,vyakula,pembejeo,.madawa vinasafirishwa!
Usafiri unahitaji mafuta hvyo kila kitu kitapanda bei na mnunuzi ni wewe!
Kwa hiyo kujisifu kwako kutembea kwa miguu ni ujinga tu
litaLita au Gallon?
Sio kwelilita
Nipo Mkuu
😂😂Bongo wese kupanda ni fasta sana ila kushuka ni kipengele..
Nimepata habari chuma mzee wa whitestar investment T.M amefarikiNipo Mkuu
White star yenyewe naona kachukua mchina, nimesikia huo msiba sikua na uhakikaNimepata habari chuma mzee wa whitestar investment T.M amefariki
Ova
Mchina anajenga tu hapoWhite star yenyewe naona kachukua mchina, nimesikia huo msiba sikua na uhakika
Ila alikuwa mkax sanaWhite star yenyewe naona kachukua mchina, nimesikia huo msiba sikua na uhakika
Hapa wamejiwahi kabla bei ya Dunia hsijapanda ili vilio vya bei vikianza duniani huko na wao wapandishe Hadi 4000. Ka mchezo kepesi haka kukang'amuaHata wiki haijaisha, inamana hata akiba ya ku ragulate bei haipo au ndio wahuni wapo kazini?
Oooh sawa sawaMchina anajenga tu hapo
Kuna mtu mzito fulani ndy kaichukua,wachina wamepewa tendaa tu kujenga
Ova
Wahuni wapo kaziniHata wiki haijaisha, inamana hata akiba ya ku ragulate bei haipo au ndio wahuni wapo kazini?