Bei ya Mafuta yapanda katika bandari zote kuanzia Machi 4, 2026

Bei ya Mafuta yapanda katika bandari zote kuanzia Machi 4, 2026

Hizo huduma unazo fwata kwa miguu huko dukani zinafikaje?? bidhaa,vyakula,pembejeo,.madawa vinasafirishwa!
Usafiri unahitaji mafuta hvyo kila kitu kitapanda bei na mnunuzi ni wewe!
Kwa hiyo kujisifu kwako kutembea kwa miguu ni ujinga tu
Mimi siyo Mchumi wajameni mambo ya spill over effect au distribution value chain ...Mimi siyajui
 
Ewura wekeni bei moja ya mafuta Nchi nzima ni ninyi tu hiyo bidhaa mnailinda kweli wakati Pepsi tu bei ni moja iweje mafuta na Pepsi nayo inabebwa toka mkoa mmoja kwenaa mwingine ukienda Malawi kule Mwanza border bei ni moja hadi Songwe border ila kwenu hicho kitu hakiwezekani kwa kuwalinda wafanyabiashara ya mafuta.
 
Hata wiki haijaisha, inamana hata akiba ya ku ragulate bei haipo au ndio wahuni wapo kazini?
Hapa wamejiwahi kabla bei ya Dunia hsijapanda ili vilio vya bei vikianza duniani huko na wao wapandishe Hadi 4000. Ka mchezo kepesi haka kukang'amua
 
Back
Top Bottom