Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

Njia ya kukwepa adha kama hii ni kuzisaka pesa tu ili yakitokea kama hv maumivu yatakuwa madogo sana, lkn wewe endelea kulastori kijiweni alafu uishie kupiga kelele tu. Serekali Ina mdomo tu lakini Haina masikio. Nafikiri tumeelewana
 
Hii vita itatafutiwa visingizio hata visivyo ihusu.

Waliozoea magari sijui itakuaje ukimwambia apande daladala.
 
watumiaji wa vyombo vya moto onyesheni mfano kwa kufanya mgomo....pakini magari tembeeni kwa mguu au muanze utaratibu wa kushare magari....kama mko ofisini mnaisha Karibu karibu mnashare gari hata watano ...

Idadi ya magari ikipungua barabarani wahusika watakuna vichwa...
 
Back
Top Bottom