Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

Usisahau serikali ina kodi mbalimbali 20 kwenye petrol, diesel, na mafuta ya taa.
Ccm hoyeee.. Kama hautaki hamia burundi.

IMG_8943.jpg
 
EWURA bhanaa, eti mtawalia......kama nawaona wamiliki wa daladala kwa mbaliiii na wale wazee wa biashara za misosi na hardware.
 
Magari ya umeme yanakuja lini ? Hivi wadau haya magari ya umeme kwa mnaoelewa kidogo tufahamisheni upande wa kuchaji hilo gari yatakuepo maeneo maalum kwa ajili ya kuchaji kama zilivyo petrol station au pia litakua na choice kwamba unaweza ukalichaji magetoni ?
Na kama zitakuepo hizo charging station vipi muda wa kulichaji labda basi liko njiani kwenda Mwanza !! Maana kama simu tu zinachajiwa kuanzia nusu saa vp Mabasi ?
 
Hii bei ya soko la dunia ya sasa iliwahi kuwepo 2012, Ila mafuta mbona hatukununua 2800+?? Kuna shida tu mahali
Bei ya dollar 2012 ilikuwa 1585

2022 dollar ni sawa na 2310

Ni ongezeko la 800 nzima

Bado Mwaka 2012 hapakuwepo na kodi ya 100 kwa ajili ya motor vehicle
Hapakuwa na 100 kwa ajili ya tarura
Hapakuwepo na 100 ya railway levy
Hapakuwepo na 100 ya umeme vijijini au REA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watumiaji wa vyombo vya moto onyesheni mfano kwa kufanya mgomo....pakini magari tembeeni kwa mguu au muanze utaratibu wa kushare magari....kama mko ofisini mnaisha Karibu karibu mnashare gari hata watano ...

Idadi ya magari ikipungua barabarani wahusika watakuna vichwa...
Hilo ndiyo suluhisho sasa

Ova
 
Back
Top Bottom