HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wanaharakati na wana siasaNeno mara dufu,maana yake ni mara mbili, sasa kama imeongeeka takrinan sh 300 inakuwaje unaandika imepanda mara dufu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaharakati na wana siasaNeno mara dufu,maana yake ni mara mbili, sasa kama imeongeeka takrinan sh 300 inakuwaje unaandika imepanda mara dufu?
Ingezeko la 300 upaki gari?Hii vita itatafutiwa visingizio hata visivyo ihusu.
Waliozoea magari sijui itakuaje ukimwambia apande daladala.
Wanasiasa lazima watalaumuNafikiri Mama hastahili lawama ktk hili.. its a global situation
Mimi sina hata baiskeli
Hii bei ya soko la dunia ya sasa iliwahi kuwepo 2012, Ila mafuta mbona hatukununua 2800+?? Kuna shida tu mahaliNafikiri Mama hastahili lawama ktk hili.. its a global situation
Unajua yalikua 2000 miezi kadhaa nyuma kwa hiyo ongezeko sio 300 Bali ni karibu 1000 kwa kuwa yalikuwa yakipanda
Bei kushuka wakati huo kulitokana na ugonjwa wa COVID19Unajua yalikua 2000 miezi kadhaa nyuma kwa hiyo ongezeko sio 300 Bali ni karibu 1000 kwa kuwa yalikuwa yakipanda
TozoHii bei ya soko la dunia ya sasa iliwahi kuwepo 2012, Ila mafuta mbona hatukununua 2800+?? Kuna shida tu mahali
Nakereka na kauli zenu za kusaka pesa tu kivip yaani Kaz tunafanya uski na mchna ila baro naumia na Bei za mafutaNjia ya kukwepa adha kama hii ni kuzisaka pesa tu ili yakitokea kama hv maumivu yatakuwa madogo sana, lkn wewe endelea kulastori kijiweni alafu uishie kupiga kelele tu. Serekali Ina mdomo tu lakini Haina masikio. Nafikiri tumeelewana
Acheni uchawi nyie watembea kwa miguuNakaziaaaa
Safi sanaaaa
Wakiona vp wapaki vyombo vya moto tu
Ova