Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

Ikiwa sh 100 ilipigiw bajeti tayari, hii 200 ya sasa ilikuwa kwenye bajeti gani? Na hii bei mpya ya kila mwezi, ni utaratibu wa dunia nzima?
Iko hivi 2540 + 100(tozo) + Ongezeko la mwezi April= 2861(Dar)
 
Safi sana watu sasa hivi watembee magonjwa ya kujitakia ni mengi watu wafanye mazoezi kwa kutembea siyo kuendekeza anasa.

Hii bei ya mafuta kupanda ni a blessing in disguise kwasababu afya za watu wengi zitaimarika kama siyo kutembea ni kununua baiskeli
Na hili ndio lengo la mrusi😂 kama ambavyo yeye kanyimwa coke na kuku wa kfc ili afya yake iimarike😂
 
Itafikia hatua hadi wale "ball boys" aka wazee wa mapambio pumzi itakata.
...
Huyu mtu nashukuru zama za Covid-19 alikuwa yuko kupokea commands za kidume jpm. Laiti angekuwa kwenye usukuani hata ule unafuu tuliopataga usingekaa kuwepo. Mafuta tunachukulia uarabuni ila tunaingizwa kwenye mkumbo wa marekani na ulaya.
 
Eh mm nlijua mafuta bongo asilimia kubwa yanatoka gulf huko

Ova
94BEEF0E-C778-4D3D-B2C3-065A5DD1F2FC.jpeg
Napata ugumu kuelewa mafuta yanakuaje juu wakati hatuagizi urusi wala ulaya? India ananunua in cheap price sahizi direct from Russia tofauti na ilivyokuwa awali kipindi ananunulia Marekani. Alternatively tunanunua wese kwa warabu.

Whats up yani sielewi tunaumizwa sababu gani?
 
View attachment 2177279Napata ugumu kuelewa mafuta yanakuaje juu wakati hatuagizi urusi wala ulaya? India ananunua in cheap price sahizi direct from Russia tofauti na ilivyokuwa awali kipindi ananunulia Marekani. Alternatively tunanunua wese kwa warabu.

Whats up yani sielewi tunaumizwa sababu gani?
Si tuna pangwa

Ova
 
Back
Top Bottom