ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Hivi tunanunuaje mafuta kwa wahindi wakati wao wenyewe ni wanunuaji toka kwa wengine? Hapo sijaelewa hata kidogo, mhindi ananunua kwa mmarekani, iweje tununue kwake? Au ndio shamba la mwendawazimu tushakuwa?View attachment 2177279Napata ugumu kuelewa mafuta yanakuaje juu wakati hatuagizi urusi wala ulaya? India ananunua in cheap price sahizi direct from Russia tofauti na ilivyokuwa awali kipindi ananunulia Marekani. Alternatively tunanunua wese kwa warabu.
Whats up yani sielewi tunaumizwa sababu gani?