Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

Ikiwa sh 100 ilipigiw bajeti tayari, hii 200 ya sasa ilikuwa kwenye bajeti gani? Na hii bei mpya ya kila mwezi, ni utaratibu wa dunia nzima?
Iko hivi 2540 + 100(tozo) + Ongezeko la mwezi April= 2861(Dar)
 
Tutamaliza awamu ya tano "B" tukiwa tumechoka sana maana gari limeshamshinda dereva.
 
Na hili ndio lengo la mrusiπŸ˜‚ kama ambavyo yeye kanyimwa coke na kuku wa kfc ili afya yake iimarikeπŸ˜‚
 
Itafikia hatua hadi wale "ball boys" aka wazee wa mapambio pumzi itakata.
...
Huyu mtu nashukuru zama za Covid-19 alikuwa yuko kupokea commands za kidume jpm. Laiti angekuwa kwenye usukuani hata ule unafuu tuliopataga usingekaa kuwepo. Mafuta tunachukulia uarabuni ila tunaingizwa kwenye mkumbo wa marekani na ulaya.
 
Eh mm nlijua mafuta bongo asilimia kubwa yanatoka gulf huko

Ova
Napata ugumu kuelewa mafuta yanakuaje juu wakati hatuagizi urusi wala ulaya? India ananunua in cheap price sahizi direct from Russia tofauti na ilivyokuwa awali kipindi ananunulia Marekani. Alternatively tunanunua wese kwa warabu.

Whats up yani sielewi tunaumizwa sababu gani?
 
Si tuna pangwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…