Bei ya mahindi Handeni zinashangaza

nauza mahindi meupe,
bei 550 @kg
yapo iringa-ipogolo, umbali wa nusu kilometa kutoka stand ya ipogolo.
mahnd ni mapya sijayapiga dawa
Nina tani 15
karibuni.
Hio bei ya daslama kijana. Iringa saivi bei ni 400@kg , bei ya juu sana hio.
 
Morogoro. Shambani tunachukua kwa 74k maana wanunuzi wa dar washavamia, tunaongeza 3k to 5k kufaulisha. Hakuna hata faida kubwa. Basi tu tunakimbizana na mzunguko.
Ukienda Songwe, Mpanda, Rukwa, n.k ukatangaza unanunua kwa 60,000 ndani ya siku moja utajizolea matani mpaka uvimbiwe
 
Morogoro. Shambani tunachukua kwa 74k maana wanunuzi wa dar washavamia, tunaongeza 3k to 5k kufaulisha. Hakuna hata faida kubwa. Basi tu tunakimbizana na mzunguko.
Yani Gunia tsh 74,000?
La debe saba au Sita
 
Mkuu Kwa Sasa mahindi yamesimama na bei ya sh ngapi huko?
 
Being za msimu hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…