Hapo hapi unalaumu sembe kupanda beiZa jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
PELEKA HAPO DAR PORI NA MSUMBIJI 0D NAKAGURUWE TURO UTAPATA BEI NZURITarafa ya mpepo- nyasa-ruvuma kijiji kinaitwa Malungu.
Acha utani wewe, kwa iyo nikihamia huko nanunua gunia kumi kwa 170,000/=. Hapo uhakika wa kumuunga Raisi mkono kwa ufyatuaji wa watoto ningeufanya vizuri.
Pole yao wakulima kwa bei hiyo wanakula hasara himilivu.
Astaghfirulah astaghfirulah[emoji20] [emoji20] [emoji20]Kwa mazao ya chakula bado hiyo bei ya elfu 9 kwa gunia la debe 6 ni bei kubwa sana. Inabidi ishuke mpaka elfu 3 kwa gunia na mia tano kwa debe. Unga bei isizidi Tsh.100 kwa kg.1. Maisha yanakuwa magumu kwa sababu hata mazao ya chakula yamefanywa biashara..! Lazima tufike mahali tujue mazao ya biashara na mazao ya chakula. Zamani ilikuwa mtu akiwa anakuja dar kwa ndugu,anabeba unga,mahindi,viazi nk. Lkn siku hizi hakuna hizo zawadi kwa sababu ya tamaa ya fedha. Mtu anaona kukubebea kilo 20 za Mchele ni hasara! Mwacheni magu asimamie hii show,tunataka mpaka muwe mnapiga simu kubembeleza kuja kuchukua mahindi buree!!!
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Ndo maana mahindi ya kuchoma yako mengi maana unapata zaidi ya mara 5 kwa hiyo 600Kwa dar kilo ya unga ni mia 6
Huu uongo mnautoa wapi, m niko kiteto mkuu hiyo bei haipoKule kiteto bei ya gunia la mahindi sh 18000 + kumbembeleza mnunuzi
Wakati ukitoka nayo ukayafikisha Sudan tu hapo unakula hela za kutosha lakini huruhusiwi. Yaani bora yakuozee upate hasara wao wachekelee eti mfumuko wa bei umeshuka huku wakulima wanateketeaImeshuka Kwa kasi mno. Mwaka juzi gunia ilikuwa 120000 hadi 150000, mwaka Jana ikawa 80000 ila mwaka huu ndo shida zaidi pamoja na hyo bei wanunuzi hakuna
Ni Chuo gani ulichohitimu kozi ya Uzamivu ya UONGO mkuu!?Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Wewe unaongea kwasababu upo mjini hujui uchungu wanao upitia wakulima. Alafu ndo mnahamasisha eti vijana wasikimbilie mijini, kwa mtindo huu nani atapenda kuwa mkulima. Ndio maana ukulima limekuwa tusi na laana Tanzania, wakati katika nchi zinazojielewa ni utajiri na heshima.Kwa mazao ya chakula bado hiyo bei ya elfu 9 kwa gunia la debe 6 ni bei kubwa sana. Inabidi ishuke mpaka elfu 3 kwa gunia na mia tano kwa debe. Unga bei isizidi Tsh.100 kwa kg.1. Maisha yanakuwa magumu kwa sababu hata mazao ya chakula yamefanywa biashara..! Lazima tufike mahali tujue mazao ya biashara na mazao ya chakula. Zamani ilikuwa mtu akiwa anakuja dar kwa ndugu,anabeba unga,mahindi,viazi nk. Lkn siku hizi hakuna hizo zawadi kwa sababu ya tamaa ya fedha. Mtu anaona kukubebea kilo 20 za Mchele ni hasara! Mwacheni magu asimamie hii show,tunataka mpaka muwe mnapiga simu kubembeleza kuja kuchukua mahindi buree!!!
Wapi huko mkuu?HAPA NILIPO 18000 DEBE 3000
ni kweli kabisa sasa lazima sisi tuwasaidieBado kwa mkulima hailipi hata Nusu ya gharama niliyotumia....
Uko sahihi Mkuu, huku Mpwapwa vijijini, wakulima wanauza debe 3500 - 4500ip
mikoa gani hiyo kwa bei hiyo? kwa kuwa soko linaonekana mahindi mwaka huu sio mengi kama mwaka jana kwa miji kama dodoma bei ya chini inasimamia 6000 debe
Telikai gwari ulyayiMalombi andee