2020 mtawafanya nn Wanasiasa? Si mtapewa khanga na T shirt mtulie?Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Hata tigo ni yako ila ukitoa utafungwa mkuuhahah... hakuna uhujumu uchumi kwani hayo maindi wamepanda wakina JIWE na wenzake.. si amepanda mkulima.. na mbegu kanunua mwenyewe.. haki yake kuamua kuuza au asiuze
Maskini hujui kitu na hutaki kujifunza.hahah... hakuna uhujumu uchumi kwani hayo maindi wamepanda wakina JIWE na wenzake.. si amepanda mkulima.. na mbegu kanunua mwenyewe.. haki yake kuamua kuuza au asiuze
Tulia huko huko singidan kwenye giza sijui upo mtinko??? Jaman mpigen huyu kiumbe kofi aamkeHuna akili hata moja
Bei gani kwa debe?Tarafa ya mpepo- nyasa-ruvuma kijiji kinaitwa Malungu.
Aisee kweli hali ni mbaya huko uliko! Yaani kushika nyekundu imekuwa ishu? ! Poleni sana.Uko wapi elezea vizuri habari yako
Mimi huku singida chakula kipo tell.debe 5000...chakula sio shida tatizo Ni hela yaani kuishika 50000 Ni mziki mnene
wap hukoHuku kwetu kilo 170/=,yaani gunia la kilo 100 17,000/=,HAPA KAZI TU.....
Peleka Faceboook mambo ya kishoga shoga we pimbi. Utahemewa kisogon hadi lini kwa stori za kijinga kiasi hiki?Huku kwetu kilo 170/=,yaani gunia la kilo 100 17,000/=,HAPA KAZI TU.....
Wapi hiyo??Huku kwetu kilo 170/=,yaani gunia la kilo 100 17,000/=,HAPA KAZI TU.....