BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Taifa la Maiti kwa mujibu wa Jomo KenyataSio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.
Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.
Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu iweni serious basi.
Kumbe yule msomali ana pesa eeh? 😳Bashe ni mtuhumiwa na fisadi!
Ila Tanzani jamani hatuna unafuu wa kitu chochote chini ya ccmSio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.
Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.
Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu iweni serious basi.
Hahaaa....kwa visingizio vya Fair competitionDangote alitaka kuuza cement kwa elfu 8 ,Genge la WEZI(CARTEL) likamuundia zengwe kubwa sana nusura afunge kiwanda.
Kodi kwenye Sukari na upigaji.Weka risiti za kuthibitisha
CorrectHacha kulinganisha mbingu na dunia,linganisha uhalisia.
Wamarekani hawawezi kulalamikia bei hiyo kwa sababu inaendana na kipato chao.
Ndio maana mleta uzi amelinganisha amezitaja nchi zinazoendana na Tanzania kiuchumi.
tatizo tushalijua kuna jizi linaitwa emmy mbugwe yaani haramia kwelikweli, bila kulidhibiti hamna kitu tunaweza fanyaSio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.
Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.
Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Per capita income ya US inalingana na ya Tanzania?Bei ya kinywaji cha Coca-Cola marekani ni TZS 4000-6000.Bei kwa Tanzania ni tzs 600 - 1000. Umegundua nini?
Hahaaa....kwa visingizio vya Fair competition
Tunaongozwa na wasio na huruma na wanadhani wanaongoza ng'ombe,tukifika kama Kenya labda viongozi hawa wapumbavu wataelewa kidogo.Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.
Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.
Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Ndio maana wanazisi kutajirika sisi wanatuona Nyani tu.Acha tu ,cartel yao hadi FCC wanapewa mipunga ,Dangote alifanya analysis akaona elfu 8 ni reasonable price na ina faida ila WEZI wakaja juu...Sirikali yetu haijali kabisa mlaji wa mwisho....Kama mafuta hadi yanafika bongo price ni 1200 ila wanaweka mikodi ya kufa mtu mpaka inafika 3500...yaani ni WEEZY WEEZY.
Kujibu swali :Jinsi nchi uchumi wake unavyokuwa juu na uwezo wa kununua /purchasing power inaongezeka 🤔GDP ya Marekani $2.6 trion ya TZ ni $62bn.....sijui kama umenielewa au bado ila kuna wachumi wstakukufafanulia zaid.
dhambi yenu ni kua na viongozi wa hiviSio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.
Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.
Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Hebu tuachane na Marekani turudi kwa jirani zetu tu.Huko Marekani tunapoteza muda tu.Bei ya kinywaji cha Coca-Cola marekani ni TZS 4000-6000.Bei kwa Tanzania ni tzs 600 - 1000. Umegundua nini?
Sukari inanunuliwa kwa bei halali nchi jirani na inakuja kuuzwa nchini kwa bei ya chini kuliko bei halali ya nchi! Bado huoni bei yetu halali ni ya kifisadi? Kwa nini nchi zote zinazo tuzunguka tena nyingine ni landlocked bei yao iko chini? Huoni kuwa serikali yetu inahusika katika huu ufisadi kwa kuwaneemesha viongozi wachache na wafanyabiashara?Umesema kimagendo, maana yake kuna hela ya kodi haipo kwenye bei