Bei ya sukari Tanzania ni zaidi ya 3000 wakati Msumbiji, Malawi, Kenya, Uganda na Zambia haizidi 2500. Kwani sisi dhambi yetu nini?

Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.

Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.

Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.

Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu iweni serious basi.
Taifa la Maiti kwa mujibu wa Jomo Kenyata
 
Dangote alitaka kuuza cement kwa elfu 8 ,Genge la WEZI(CARTEL) likamuundia zengwe kubwa sana nusura afunge kiwanda.
 
Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.

Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.

Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.

Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu iweni serious basi.
Ila Tanzani jamani hatuna unafuu wa kitu chochote chini ya ccm
 
Hacha kulinganisha mbingu na dunia,linganisha uhalisia.
Wamarekani hawawezi kulalamikia bei hiyo kwa sababu inaendana na kipato chao.
Ndio maana mleta uzi amelinganisha amezitaja nchi zinazoendana na Tanzania kiuchumi.
Correct
 
Sio mda mrefu sana nilikuwa nanunua;
...sabuni ya jamaa miche mitano kwa buku kumi, leo ni miche mitatu tu.
...sukari kilo alfu na mia nane, manake buku kumi ni kilo tano na chenji.
...mkate mkubwa was buku mia mbili, leo superloaf ni buku tatu.

Life has never been easy, ni kujitafuta kuongeza kipato tu, watawala hawana habari.
 
Acha upotoshaji. Hizo bei ulizoandika ni za uongo. Bei ya sukari Zambia ni kwacha 25. Zidisha mara 107 uone kama ni Tsh 2000? Jenga hoja yako bila kuingiza uongo.
 
Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.

Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.

Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.

Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
tatizo tushalijua kuna jizi linaitwa emmy mbugwe yaani haramia kwelikweli, bila kulidhibiti hamna kitu tunaweza fanya
 
Hahaaa....kwa visingizio vya Fair competition

Acha tu ,cartel yao hadi FCC wanapewa mipunga ,Dangote alifanya analysis akaona elfu 8 ni reasonable price na ina faida ila WEZI wakaja juu...Sirikali yetu haijali kabisa mlaji wa mwisho....Kama mafuta hadi yanafika bongo price ni 1200 ila wanaweka mikodi ya kufa mtu mpaka inafika 3500...yaani ni WEEZY WEEZY.
 
Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.

Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.

Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.

Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
Tunaongozwa na wasio na huruma na wanadhani wanaongoza ng'ombe,tukifika kama Kenya labda viongozi hawa wapumbavu wataelewa kidogo.
 
Acha tu ,cartel yao hadi FCC wanapewa mipunga ,Dangote alifanya analysis akaona elfu 8 ni reasonable price na ina faida ila WEZI wakaja juu...Sirikali yetu haijali kabisa mlaji wa mwisho....Kama mafuta hadi yanafika bongo price ni 1200 ila wanaweka mikodi ya kufa mtu mpaka inafika 3500...yaani ni WEEZY WEEZY.
Ndio maana wanazisi kutajirika sisi wanatuona Nyani tu.
 
GDP ya Marekani $2.6 trion ya TZ ni $62bn.....sijui kama umenielewa au bado ila kuna wachumi wstakukufafanulia zaid.
Kujibu swali :Jinsi nchi uchumi wake unavyokuwa juu na uwezo wa kununua /purchasing power inaongezeka 🤔
 
Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.

Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama kubwa kuliko jirani zetu wote.

Tangu nakua mpaka sasa ni mtu mzima mwendo ni uleule nakumbu ka nilisoma na jamaa mmoja alikuwa akienda na baiskeli kuchukua sukari za magendo Zambia na kuiuza Tanzania Kisha analipa ada.

Ndugu zangu wafanya maamuzi hebu kuweni serious basi.
dhambi yenu ni kua na viongozi wa hivi
 
Bei ya kinywaji cha Coca-Cola marekani ni TZS 4000-6000.Bei kwa Tanzania ni tzs 600 - 1000. Umegundua nini?
Hebu tuachane na Marekani turudi kwa jirani zetu tu.Huko Marekani tunapoteza muda tu.
 
Umesema kimagendo, maana yake kuna hela ya kodi haipo kwenye bei
Sukari inanunuliwa kwa bei halali nchi jirani na inakuja kuuzwa nchini kwa bei ya chini kuliko bei halali ya nchi! Bado huoni bei yetu halali ni ya kifisadi? Kwa nini nchi zote zinazo tuzunguka tena nyingine ni landlocked bei yao iko chini? Huoni kuwa serikali yetu inahusika katika huu ufisadi kwa kuwaneemesha viongozi wachache na wafanyabiashara?
 
Back
Top Bottom