Bei ya sukari Tanzania ni zaidi ya 3000 wakati Msumbiji, Malawi, Kenya, Uganda na Zambia haizidi 2500. Kwani sisi dhambi yetu nini?

Ufisadi.
Vibali vya kuagiza sukari wanapewa hao hao wanaoshindwa kuilisha nchi na sukari wanayozalisha hapa ndani. Kwanini sukari isiagizwe tu kama nguo?
Mnalinda viwanda vya ndani, viwanda mnavilinda miaka kibao havibadiliki vya nini sasa?
Bashe na genge lake wamekumbatia wahindi wanaendelea kuwatajirisha huku wao wakipokea bahasha.
 
Hivi bado mna hangaika na sukari
Dada yangu kipenzi
Mimi binafsi nna matumizi madogo sana ya sukari,kg1 naweza kaa nayo hata miezi 2

Ova
Nadhani huelewi matumizi mapana ya sukari sukari inayotumika kwenye matumizi nje na chai na uji huenda ni makubwa zaidi kuna bidhaa nyingi sana unazotumia ambazo bila sukari huwezi kuzipata hivyo sukari ikipatikana kwa gharama nafuu itachochea nazo zishuke bei
 
Mwigulu
 
Hiyo koka kola dollar ngapi ukiichenji unapata shilling ngapi hapa bo

Hiyo koka kola dollar ngapi ukiichenji unapata shilling ngapi hapa bongo ?
Huyu wa kumhurumia tu kujaribu kujilinganisha na marekani ni kupoteza ladha ya mjadala hao tunatofautiana vitu vingi kwa mbali sana mf ardhi tunayotumia kulima miwa ili upate malighafi ya viwanda kwa hapa Tz utaipata kwa mwaka hata laki 5 kwa heka 1 niambie utaikodi kwa sh ngapi huko us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…