Bei ya tango sokoni imekuwa kubwa

Aisee
Dah!
 
UZI unaukakasi ila umepata watu wengi sana kutokana na matatizo kiukweli mimi siwezi nunua tango ๐Ÿ˜‚ afu nikalila hadharani kama zamani sijui tumeelewana tuishie apa
Akili mgando, tango si tunda kama matunda mengine.
 
Naaam shukrani sana kesho napitia sokoni temeke nibebe matikiti ya kutosha kesho kutwa Nina show game
 
Kabsaa, niliwahi kuskia kwenye kipindi Cha dadaz, yule boke anasema anakoishi karoti Moja sh. 500... Weee!! Nilishtuka, wakati hpo unapata 5 au 10.
Kabisa ukienda huko stereo ni fungu Kuna kipind nilikuwa nauza juis fresh Nachukua matunda stereo naenda nayo mkoani parachichi kuanzia 200,karot kilo 1500 zile nzuri ๐Ÿ˜ƒ
Yan vitu Bei rahis sana so inategemea
 
Ahaa kwani hulagi tende na maziwa!? Yaani juisi!?.
Huwa napiga sana sema huyu bidada ninae enda kumuwish ilikuwa sijakutana nae miezi 9 na ikapita miezi 4 sijamgusa keshokutwa ndio naenda kumuwish
 
Kabisa ukienda huko stereo ni fungu Kuna kipind nilikuwa nauza juis fresh Nachukua matunda stereo naenda nayo mkoani parachichi kuanzia 200,karot kilo 1500 zile nzuri ๐Ÿ˜ƒ
Yan vitu Bei rahis sana so inategemea
Yeah kbsaa, asitugombanishe na mama huyu utopwax๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ