Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Si ndo hapo labda huko anakoishi ushuaniKumbee eeh!! Sasa anasemaje yameadimika wakati sie tunayaona yapo telee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndo hapo labda huko anakoishi ushuaniKumbee eeh!! Sasa anasemaje yameadimika wakati sie tunayaona yapo telee.
Kwanini mkuu😃UZI unaukakasi ila umepata watu wengi sana kutokana na matatizo kiukweli mimi siwezi nunua tango 😂 afu nikalila hadharani kama zamani sijui tumeelewana tuishie apa
AiseeDar hapa bei ya tango sio poa
Tango 1 linaanzia 1000 kupanda juu
Zamani tulinunua sh 100 tu
Matango Yana kazi nyingine huko Dar
Matango yanaadimika au be mkasi
Matango hayapendwi na watoto na watu wengi
Huwezi kula tango zaidi 1
Kwanini bei iwe kubwa hivi
Namalizia utafiti wangu wa kwanini tango linapanda bei, inawezekana Lina kazi nyingine
Nitaleta majibu majibu ya utafiti mwezi ujao
Vipi halisaidii kwenye mambo yetu pendwa?Na pia linaondoa sumu mwilini , ukila ule na maganda yake ndo Bora zaidi.
Akili mgando, tango si tunda kama matunda mengine.UZI unaukakasi ila umepata watu wengi sana kutokana na matatizo kiukweli mimi siwezi nunua tango 😂 afu nikalila hadharani kama zamani sijui tumeelewana tuishie apa
lishakua hatarishiKwanini mkuu😃
potelea mbali🏌️ nishakwambia siwezi acha akili igande tuAkili mgando, tango si tunda kama matunda mengine.
Igande mara ngapi sasa!!!.potelea mbali🏌️ nishakwambia siwezi acha akili igande tu
Naaam shukrani sana kesho napitia sokoni temeke nibebe matikiti ya kutosha kesho kutwa Nina show gameHayo mambo ni tikiti maji unakula na mbegu zake, nyanya chungu zile chungu ndo Bora zaidi kma huziwezi hata zile za baridi, unakula mbichi bila kupikwa mbili kwa siku, kama una mke tumia hzo. Najua unae ndomna nimekwambia, wenye videmu piteni kushoto.
kubishana siwezi wewe jinsia gani???Igande mara ngapi sasa!!!.
Kabsaa, niliwahi kuskia kwenye kipindi Cha dadaz, yule boke anasema anakoishi karoti Moja sh. 500... Weee!! Nilishtuka, wakati hpo unapata 5 au 10.Si ndo hapo labda huko anakoishi ushuani
Yaishe ba ndugu😂😂 nilitaka ninunue ugomvi ila kumbe huwezi kubishana, basi.kubishana siwezi wewe jinsia gani???
Kabisa ukienda huko stereo ni fungu Kuna kipind nilikuwa nauza juis fresh Nachukua matunda stereo naenda nayo mkoani parachichi kuanzia 200,karot kilo 1500 zile nzuri 😃Kabsaa, niliwahi kuskia kwenye kipindi Cha dadaz, yule boke anasema anakoishi karoti Moja sh. 500... Weee!! Nilishtuka, wakati hpo unapata 5 au 10.
Huwa napiga sana sema huyu bidada ninae enda kumuwish ilikuwa sijakutana nae miezi 9 na ikapita miezi 4 sijamgusa keshokutwa ndio naenda kumuwishAhaa kwani hulagi tende na maziwa!? Yaani juisi!?.
Weee!! Sio wife kumbe🤔Huwa napiga sana sema huyu bidada ninae enda kumuwish ilikuwa sijakutana nae miezi 9 na ikapita miezi 4 sijamgusa keshokutwa ndio naenda kumuwish
Yeah kbsaa, asitugombanishe na mama huyu utopwax😂😂Kabisa ukienda huko stereo ni fungu Kuna kipind nilikuwa nauza juis fresh Nachukua matunda stereo naenda nayo mkoani parachichi kuanzia 200,karot kilo 1500 zile nzuri 😃
Yan vitu Bei rahis sana so inategemea
Daddie nilishagakukataza utukutu 😍😍Litamfikisha kileleni 🙌
Tango la shambani au tango bolo?
Utengwe *****Tango la shambani au tango bolo?