Bei za ATCL hazitakiwi kupishana sana na za mabas kama njia ya ATCL kupata faida

Ushahidi wako wa uongo,fast jet ofa zake zilianza 2012 mpaka inapofungiwa 2018/19
So jukwaa zima la JF ni waongo watu kwa mamia waliokua waliofanya discussion ni waongo, account zao za social media ni waongo na ushahidi wote uliopo kwenye internet ni waongo, ila wewe ambaye toka uanze discussion hujaleta ushahidi hata mmoja ndio mkweli? Wabongo kwenye ubora wenu.
 
Haijawahi kaa miaka 3 nimeweka ushahidi huko juu humu humu jukwaani threads with screenshots na ushahidi wote, tusidanganyane.
Ushahidi wako wa uongo fast jet ofa zake zilianza 2012 mpaka inapofungiwa 2018
So jukwaa zima la JF ni waongo watu kwa mamia waliokua waliofanya discussion ni waongo, account zao za social media ni waongo na ushahidi wote uliopo kwenye internet ni waongo, ila wewe ambaye toka uanze discussion hujaleta ushahidi hata mmoja ndio mkweli? Wabongo kwenye ubora wenu.
Hiyo ni 2014 na ofa zileendelea mpaka mwisho unasemaje haikuzidi miaka mi3 kama sio muongo unatuletea habari za bulawayo
 
Attachments

  • Screenshot_20261004_081721_Chrome.jpg
    Screenshot_20261004_081721_Chrome.jpg
    40.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20261004_081759_Lite.jpg
    Screenshot_20261004_081759_Lite.jpg
    87.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20261003_223453_Lite.jpg
    Screenshot_20261003_223453_Lite.jpg
    51.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20261004_082825_Chrome.jpg
    Screenshot_20261004_082825_Chrome.jpg
    95.8 KB · Views: 3
Ushahidi wako wa uongo fast jet ofa zake zilianza 2012 mpaka inapofungiwa 2018

Hiyo ni 2014 na ofa zileendelea mpaka mwisho unasemaje haikuzidi miaka mi3 kama sio muongo unatuletea habari za bulawayo
Screenshot yako yenyewe inasema ilikua ni ofa huoni kwamba inakubaliana na Mimi? Hata ATCL Wana ofa chini ya laki mara kwa mara huwezi kuniona hapa nikasema ndio nauli Yao.

Hizi hapa nyuzi nilizopost juu soma tena

Hizi hapa screenshot za booking za fastjet zikionesha nauli
ImageUploadedByJamiiForums1414847960.089863.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1414847879.558976.jpg

Uzi mmoja wa 2014 na mwengine 2015 kuonesha kwamba ni same time frame ya wewe unayoclaim
 
Screenshot yako yenyewe inasema ilikua ni ofa huoni kwamba inakubaliana na Mimi? Hata ATCL Wana ofa chini ya laki mara kwa mara huwezi kuniona hapa nikasema ndio nauli Yao.

Hizi hapa nyuzi nilizopost juu soma tena

Hizi hapa screenshot za booking za fastjet zikionesha nauli
View attachment 3683510
View attachment 3683511

Uzi mmoja wa 2014 na mwengine 2015 kuonesha kwamba ni same time frame ya wewe unayoclaim
Mimi nilikuuliza swali fast jet waliwezaje kuweka ofa zao wakati wote zaidi ya miaka mi3 ukagoma kuwa haijafika hiyo miaka unalinganisha na ATCL iinayotoa ofa mara moja kwa mwaka.af sio screenshot tu naweza kusema mimi ni miongoni mwa watu waliofaidi fast jet hapa TZ
 
Boss hebu nipe hio range ya miaka mitatu ilianza mwaka gani Hadi mwaka gani, nimekupa bei ya 2014 na 2015 bei haikua hivyo. Bei ilikua laki kadhaa,
 
Nimekuonesha hapo screenshot ya page ya fast jet nauli ya ofa 39,000 mbeya dar ukiongeza na kodi ya serikali inakua 69 au 70 na 2015 na 2016 na 2017 na 18 bei ilkua hivyohivyo, hizo bei za laki za ofa wewe umezitoa wapi?
 
Ndio ushasema bei ya ofa, inaelewa maana ya ofa? Ama natwanga Tu maji kwenye kinu? Hio ni bei ambayo inatokea kidogo siku kadhaa then unarudi bei yako ya kawaida haikua permanent price.

Hata Mimi naweza okoteza screenshot kibao za offer za Air Tanzania haitamaanisha ndio nauli kila siku Air Tanzania wanatoza.
 
We jamaa bhana me nlikwambia hizo bei za offer zilkua kama ni permanent maana hakuna kipindi fast jet walikua hawana ofa unalinganisha na ofa za Air Tz za mara moja kwa mwaka.yaani inshort fast jet ingekua hadi sahiv 80% ya watz wangekua wamepanda ndege
 
Inakuaje ofa na inakuaje tena permanent, hebu soma mwenyewe comment yako uone ulichoandika, na hizo nyuzi, na hizo screenshot za bei walikua ni wendawazimu walioandika humu jf? Na social media zao wenyewe waliokuwa wakipromote hao fasjet bei za zaidi ya laki walikua wamechanganyikiwa?

Mbona huko Zimbabwe fastjet wanatoza bei kubwa zaidi? Walishindwa vipi kufanya kila mzimbabwe apande ndege?
 
Nimechoka kukuelewesha
 
Nini kifanyike ili Atcl iweze kutengeneze faida

Ni mda sasa kila CAG anaposoma report ATCL imekua ikipata hasara kwenye huu uzi ntaelezea namna ATCL itakavyopata faida

Jambo la kwanza kabisa faida kwenye biashara kubwa inahitaji boldness kubwa sana ili uweze kuachieve ndo maana biashara kubwa sana na zenye mitaji wengi wanafeli sababu hawataki kutake risk

Kwa sababu hawataki kutake risk basi wanaamua kucharge bei za juu sana kwenye huduma au bidhaa wanazozizalisha na hii ndo sababu iliyowaondoa europe kwenye biashara kubwa na hatimaye nchi za mashariki ya mbali kuwa centre ya biashara kubwa ikiwemo manufacturing na services sector

Kabla sijaendelea kuna jambo ambalo ningependa kuliongelea kifupi Biashara yeyote ile unapoanzisha lazima uchague malengo yako ni yapi mfano wa malengo yanaweza kuwa kama yafuatayo:-
  1. Kuhudumia wananchi wengi
  2. Exlusive tu kwa watu flani
  3. Kwa ajili ya kutangaza jambo flani hii ipo kwa mashiriki ya gulf kama emirates, etihad au qatar
Sasa ukiangalia ATCL ni shirika linalotumia fedha la uma ila lipo kwenye point namba 2 kitu ambacho sio sawa na hii utajua kwa kuangalia bei wanazozitoza kwenye huduma zao

ATCL wangetakiwa wafall kwenye point namba moja kuhudumia wananchi wengi kwa sababu kwa kufanya hivi in long run lazima tu utapata faida

Kwenye biashara kubwa zote duniani faida ni ndogo sana kutumia tsh ya Tanzania watu wanapigania sh 20 au 50 ukiambiwa utadharau ila ndo zinawapa watu faida sababu wanatageti watu wengi

Tukija kwenye ATCL bei lazima ziwe chini sana ili kuwe na target ya kuhudumia watanzania million zaidi ya 40 nikimaanisha bei hazitakiwi kupishana sana na za mabasi hapo ndo ATCL itaanza kupata faida

Mfano bei za ATCL zinatakiwa kuanzia elfu 60 na mwish laki 250 kwa first class tukifanya hivi ndani ya miaka 5 shirika litakuwa linahudumia watu wengi na kupata faida
mara kibao dege la watu 200 tunakuwa 28 mpaka wadau wa economy tunaenda kukaa first class maana hakuna abiria 🤣🤣🤣
 
Ipo siku mtakuja elewa wadau waliokuwa wakisisitiza kuwa kinachotangulia kwenye biashara ya shirika/kampuni ya usafiri wa ndege (airline business) ni business plan (mpango wa kibiashara). Huo ndio huamua kila kitu kuanzia idadi ya manunuzi na ukodishaji wa ndege, mpango wa uendeshaji, bei tarajiwa katika mazingira mbalimbali, n.k.

Ukitanguliza kununua ndege ndipo uhangaike kuweka "nauli itaykaojaza viti" ni kujidanganya. Hii ni biashara ghali na ngumu sana. Kila safari na hali ya soko ina aina ya ndege inayostahili kiuchumi. DHC 8, A220, B737 zina optimal route zake. Usipozingatia hilo jiandae kwa hasara. Na kila muda ndege inapokaa/lala uwanjani inaingiza gharama kubwa tu.

Kingine. Ndege za abiria hutumika pia kusafirisha mizigo ya kibiashara. Kuna wakati mizigo ndio inalipa zaidi kuliko abiria. Hapo tena inabidi hesabu zipigwe ku-balance payload (mzigo unaolipa) kwa sababu mafuta yanatumika kulingana na uzito wa payload. Sasa kuliko wajaze abiria wanaoongeza hasara ni bora baadhi ya viti vibaki wazi kupunguza matumizi ya mafuta. Hii si sawa na biashara ya bus au treni.

Ukianza kupanga safari ambazo hata viti vikijaa mapato hayafikii gharama za safari basi tarajia kutumia ruzuku ya serikali kuendesha kampuni muda wote. Hakuna tofauti na viti kubaki wazi. Kwanza ina maana unatumia aina ya ndege ambayo si sahihi kwa hiyo safari. Pili umetoza nauli ambayo ni chini ya kiwango kinachotakiwa. Hutoboi. Hapo bado kuingiza ufisadi unaoweza kutokea.

Ndio maana mashirika kama SAA na KQ yamebakia mizigo isiyoeleweka. Sijui kwa ATCL na hatma yake.
 
Ukisikia biashara kichaa ni hizi za ndege, kununua ndege sio kazi kazi hizo ndege zilete faida. Na ambavyo mafuta tunanunua, bora waarabu wanayo ya kwao. Sisi hapa bei ikipanda tu, tupo hoi bin taaban.
 
Back
Top Bottom