Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nini kifanyike ili Atcl iweze kutengeneze faida
Ni mda sasa kila CAG anaposoma report ATCL imekua ikipata hasara kwenye huu uzi ntaelezea namna ATCL itakavyopata faida
Jambo la kwanza kabisa faida kwenye biashara kubwa inahitaji boldness kubwa sana ili uweze kuachieve ndo maana biashara kubwa sana na zenye mitaji wengi wanafeli sababu hawataki kutake risk
Kwa sababu hawataki kutake risk basi wanaamua kucharge bei za juu sana kwenye huduma au bidhaa wanazozizalisha na hii ndo sababu iliyowaondoa europe kwenye biashara kubwa na hatimaye nchi za mashariki ya mbali kuwa centre ya biashara kubwa ikiwemo manufacturing na services sector
Kabla sijaendelea kuna jambo ambalo ningependa kuliongelea kifupi Biashara yeyote ile unapoanzisha lazima uchague malengo yako ni yapi mfano wa malengo yanaweza kuwa kama yafuatayo:-
ATCL wangetakiwa wafall kwenye point namba moja kuhudumia wananchi wengi kwa sababu kwa kufanya hivi in long run lazima tu utapata faida
Kwenye biashara kubwa zote duniani faida ni ndogo sana kutumia tsh ya Tanzania watu wanapigania sh 20 au 50 ukiambiwa utadharau ila ndo zinawapa watu faida sababu wanatageti watu wengi
Tukija kwenye ATCL bei lazima ziwe chini sana ili kuwe na target ya kuhudumia watanzania million zaidi ya 40 nikimaanisha bei hazitakiwi kupishana sana na za mabasi hapo ndo ATCL itaanza kupata faida
Mfano bei za ATCL zinatakiwa kuanzia elfu 60 na mwish laki 250 kwa first class tukifanya hivi ndani ya miaka 5 shirika litakuwa linahudumia watu wengi na kupata faida

- Kuhudumia wananchi wengi
- Exlusive tu kwa watu flani
- Kwa ajili ya kutangaza jambo flani hii ipo kwa mashiriki ya gulf kama emirates, etihad au qatar