Bei za ATCL hazitakiwi kupishana sana na za mabas kama njia ya ATCL kupata faida

Bei za ATCL hazitakiwi kupishana sana na za mabas kama njia ya ATCL kupata faida

Nini kifanyike ili Atcl iweze kutengeneze faida

Ni mda sasa kila CAG anaposoma report ATCL imekua ikipata hasara kwenye huu uzi ntaelezea namna ATCL itakavyopata faida

Jambo la kwanza kabisa faida kwenye biashara kubwa inahitaji boldness kubwa sana ili uweze kuachieve ndo maana biashara kubwa sana na zenye mitaji wengi wanafeli sababu hawataki kutake risk

Kwa sababu hawataki kutake risk basi wanaamua kucharge bei za juu sana kwenye huduma au bidhaa wanazozizalisha na hii ndo sababu iliyowaondoa europe kwenye biashara kubwa na hatimaye nchi za mashariki ya mbali kuwa centre ya biashara kubwa ikiwemo manufacturing na services sector

Kabla sijaendelea kuna jambo ambalo ningependa kuliongelea kifupi Biashara yeyote ile unapoanzisha lazima uchague malengo yako ni yapi mfano wa malengo yanaweza kuwa kama yafuatayo:-
  1. Kuhudumia wananchi wengi
  2. Exlusive tu kwa watu flani
  3. Kwa ajili ya kutangaza jambo flani hii ipo kwa mashiriki ya gulf kama emirates, etihad au qatar
Sasa ukiangalia ATCL ni shirika linalotumia fedha la uma ila lipo kwenye point namba 2 kitu ambacho sio sawa na hii utajua kwa kuangalia bei wanazozitoza kwenye huduma zao

ATCL wangetakiwa wafall kwenye point namba moja kuhudumia wananchi wengi kwa sababu kwa kufanya hivi in long run lazima tu utapata faida

Kwenye biashara kubwa zote duniani faida ni ndogo sana kutumia tsh ya Tanzania watu wanapigania sh 20 au 50 ukiambiwa utadharau ila ndo zinawapa watu faida sababu wanatageti watu wengi

Tukija kwenye ATCL bei lazima ziwe chini sana ili kuwe na target ya kuhudumia watanzania million zaidi ya 40 nikimaanisha bei hazitakiwi kupishana sana na za mabasi hapo ndo ATCL itaanza kupata faida

Mfano bei za ATCL zinatakiwa kuanzia elfu 60 na mwish laki 250 kwa first class tukifanya hivi ndani ya miaka 5 shirika litakuwa linahudumia watu wengi na kupata faida
Kutoka Dar hadi Mtwara, ATCL wanatoza nauli ya shs 600,000 kwa trip moja tu kwenda. Wangekuwa wanatoza angalau hata 150,000 wangeweza kupata abiria wengi sana, watu siku hizi hawapendi kusafiri masaa mengi na tukumbuke pia population kubwa ya watanzania ni watu wa kipato cha kawaida.
 
Sasa we huoni ukichajI hela ndogo na hasara nayo itazidi? Solution ya kibiashara ni wauze ndege sababu biashara hawawezi, na sio kupunguza nauli, kwani hasara ndio itazidi kuwa kubwa,

Wla huhitaji kuwa na akili kivile kujua cost ya ndege kwa saa,

Mfano Airbus A220 y Air Tanzania cost per hour ni baina ya Dola 6000 Hadi 8000 hivi kwa saa, roughly hela za madafu milioni 20 kila saa.

Safari kama ya Dodoma ni saa na nusu so cost ni kama milioni 30 hivi.

Kwa nauli yako ya 60,000 ina maana hapo Una Kam 7,800,000 full seat umejaa, unakula Hasara kama milioni 22 hivi kila trip,

Kwa Idadi ya ndege 16 tupate Atleast Hasara milioni 300 kwa siku na si chini ya Bilioni 100 Hasara kwa mwaka.

Hio ni ya ndege Tu kui operate bado wafanyakazi na mambo mengine. So akili kisoda tuambie Una approve vipi Hasara ya zaidi ya Bilioni 100 ili Tu kila MTU apande ndege? Kuna mambo mengi Bilioni 100 inaweza kufanya.
Usipige hesabu za siku moja katika suala la investmentkubwa kama shirika la ndege. Mtoa mada amepiga hesabu za mbali katika kutengeneza faida, amesema angalau miaka 5, na kumbuka hao ATCL wanapigwa tough na serikali mara kwa mara kuboost operation zao. Hesabu za siku moja hata NMB wangeshindwa kutoa mikopo ili kupata faida ya biashara yao.
 
Kutoka Dar hadi Mtwara, ATCL wanatoza nauli ya shs 600,000 kwa trip moja tu kwenda. Wangekuwa wanatoza angalau hata 150,000 wangeweza kupata abiria wengi sana, watu siku hizi hawapendi kusafiri masaa mengi na tukumbuke pia population kubwa ya watanzania ni watu wa kipato cha kawaida.
Hio ndo point yangu ila watu wengine wananibishia
 
Kuna mji Tanzania unaitwa bulawayo
wewe acha kurukaruka, umepigwa na kitu kizito kuwa mpole kilaza wewe

FastJet
Bulawayo to Harare
900 km round trip
$360
1790945078899.png

Air Tanzania
Dar es Salaam to Dodoma
900 km Round trip
$267

1790944554330.png
 
Gharama za uendeshaji kwa safari moja ni kiasi gani, say trip ya Dar Mwanza? Na pia mapato ni kiasi gani? Faida (au hasara) inapatikanaje kwa balance hiyo? Hebu ongezea nyama ili tuone tuweze kushauri vizuri shirika letu.​
 
Bulawayo iko Tanzania
Na wakati fastjet inafanya kazi Tanzania ulishapanda
Hivi wewe unajua ni kilaza, huna exposure wala kuelewa dunia inavyokwenda zaidi kujijua una kadigirii
unaongelea kipindi fastjet iko hapa na nauli zao kipindi hicho na kulinganisha na sasa bila kuhusisha the rate of inflation kutokea kipindi hicho na kwa sasa
Na kuuliza Bulawayo iko Tanzania ni kujionyesha kabisa huna hata akili ya kuelewa correlation analysis ni nini

Hebu nenda kajifunze hii kwanza
Correlation analysis is a statistical method used to measure the strength and direction of the linear relationship between two or more quantitative variables
 
Correlation analysis ilihali CAG kila siku anasema shirika linapata hasara unajua wewe ni mjinga sana
 
Back
Top Bottom