Bei za ATCL hazitakiwi kupishana sana na za mabas kama njia ya ATCL kupata faida

Bei za ATCL hazitakiwi kupishana sana na za mabas kama njia ya ATCL kupata faida

Nini kifanyike ili Atcl iweze kutengeneze faida

Ni mda sasa kila CAG anaposoma report ATCL imekua ikipata hasara kwenye huu uzi ntaelezea namna ATCL itakavyopata faida

Jambo la kwanza kabisa faida kwenye biashara kubwa inahitaji boldness kubwa sana ili uweze kuachieve ndo maana biashara kubwa sana na zenye mitaji wengi wanafeli sababu hawataki kutake risk

Kwa sababu hawataki kutake risk basi wanaamua kucharge bei za juu sana kwenye huduma au bidhaa wanazozizalisha na hii ndo sababu iliyowaondoa europe kwenye biashara kubwa na hatimaye nchi za mashariki ya mbali kuwa centre ya biashara kubwa ikiwemo manufacturing na services sector

Kabla sijaendelea kuna jambo ambalo ningependa kuliongelea kifupi Biashara yeyote ile unapoanzisha lazima uchague malengo yako ni yapi mfano wa malengo yanaweza kuwa kama yafuatayo:-
  1. Kuhudumia wananchi wengi
  2. Exlusive tu kwa watu flani
  3. Kwa ajili ya kutangaza jambo flani hii ipo kwa mashiriki ya gulf kama emirates, etihad au qatar
Sasa ukiangalia ATCL ni shirika linalotumia fedha la uma ila lipo kwenye point namba 2 kitu ambacho sio sawa na hii utajua kwa kuangalia bei wanazozitoza kwenye huduma zao

ATCL wangetakiwa wafall kwenye point namba moja kuhudumia wananchi wengi kwa sababu kwa kufanya hivi in long run lazima tu utapata faida

Kwenye biashara kubwa zote duniani faida ni ndogo sana kutumia tsh ya Tanzania watu wanapigania sh 20 au 50 ukiambiwa utadharau ila ndo zinawapa watu faida sababu wanatageti watu wengi

Tukija kwenye ATCL bei lazima ziwe chini sana ili kuwe na target ya kuhudumia watanzania million zaidi ya 40 nikimaanisha bei hazitakiwi kupishana sana na za mabasi hapo ndo ATCL itaanza kupata faida

Mfano bei za ATCL zinatakiwa kuanzia elfu 60 na mwish laki 250 kwa first class tukifanya hivi ndani ya miaka 5 shirika litakuwa linahudumia watu wengi na kupata faida
Hiyo ilikuwa approach ya FastJet.
Baada ya ATCL kuhodhi anga bei zikabadilika ghafla.
Usafiri wa anga umebaki kama anasa.
Bei za ATCL kwa safari za ndani ni ghali kuliko hata za mashirika ya kibiashara!
 
Hiyo ilikuwa approach ya FastJet.
Baada ya ATCL kuhodhi anga bei zikabadilika ghafla.
Usafiri wa anga umebaki kama anasa.
Bei za ATCL kwa safari za ndani ni ghali kuliko hata za mashirika ya kibiashara!
Na kuna watu wanawatetea sema tuna nchi ya ajabu sana
 
Usipige hesabu za siku moja katika suala la investmentkubwa kama shirika la ndege. Mtoa mada amepiga hesabu za mbali katika kutengeneza faida, amesema angalau miaka 5, na kumbuka hao ATCL wanapigwa tough na serikali mara kwa mara kuboost operation zao. Hesabu za siku moja hata NMB wangeshindwa kutoa mikopo ili kupata faida ya biashara yao.
Biashara haiendi hivyo, Serikali ambayo kila sh 10 inayokusanya basi 9 inalipa mishahara na madeni Haina uwezo kuruzuku shirika moja tu mamia ya mabilioni ya hela,

Kuna mtu kauliza swali zuri tu hata genge mshawahi kumiliki? Mnaongea nonsense kibiashara, even nchi zenye hela kama UAE, Saudia etc na matrilioni Yao wanao operate kwa break even hawachaji 60K upande ndege ukae masaa angani ni upuuzi. Hizi stori ziiishie tu kwenye vijiwe vya kahawa sio kwa watu wanaofahamu ABC za biashara.
 
Unafananisha UAE na Tanzania huu siukichaa

A poor country like Tanzania unaona ni sawa kwa shirika kuendeshwa kwa hasara na unatetea kwa nguvu zote
Imagine mtu kama huyu ndo anakuja kesho kiongozi ni hasara kubwa sana
 
Kutoka Dar hadi Mtwara, ATCL wanatoza nauli ya shs 600,000 kwa trip moja tu kwenda. Wangekuwa wanatoza angalau hata 150,000 wangeweza kupata abiria wengi sana, watu siku hizi hawapendi kusafiri masaa mengi na tukumbuke pia population kubwa ya watanzania ni watu wa kipato cha kawaida.
Screenshot_20261002-174804~2.jpg

$165 angani lisaa limoja, cheaper than fastjet ambayo inachaji $180 kwa Chini ya lisaa.
 
Unafananisha UAE na Tanzania huu siukichaa

A poor country like Tanzania unaona ni sawa kwa shirika kuendeshwa kwa hasara na unatetea kwa nguvu zote
Imagine mtu kama huyu ndo anakuja kesho kiongozi ni hasara kubwa sana
Wewe ndio kichaa unaetaka hii hasara ya sasa iongezeke kwa zaidi ya bilioni 100, endeleeni kudanganyana na Uzi wenu.
 
View attachment 3682576
$165 angani lisaa limoja, cheaper than fastjet ambayo inachaji $180 kwa Chini ya lisaa.
Nafikiri unamuonea tu mtoa mada, na pengine amepanick kiasi kwa hoja zako.
Ila kasema ukweli kabisa, pengine 60K ikawa makadirio ya chini sana ila bado idea ni nzuri sana kibiashara kwaajili ya kuweka foundation ya kutengeneza faida huko mbeleni
 
Kwanza kabla hujashauri kuhusu ATCL nataka nikuulize swali ushawahi kumiliki biashara yoyote na ukaiendesha kwa faida hata genge la nyanya na vitunguu?
Unafikiri wanaosimamia ATCL walishawahi kumiliki ndege hata ya mabati? Argue with logic, mwenzio katoa logic zake, zipinge kwa facts zilizo practically.
 
Wewe ndio ulieleta hoja ya fastjet sio Mimi, just nakupa comparison hao unaosema wana bei ya Chini bei Yao ipo juu kuliko ATCL. Internet zipo data zipo ila mnajitoa tu ufahamu.
Fastjet wakati ipo Tanzania bei ilikuwa chini ndo mfano nilioutoa ila cha ajabu ukaanza kuleta mifano ya bulawayo ndo nikakuuliza bulawayo ipo Tanzania

Ukweli ni kwamba fastjet ilipokuwa Tanzania miaka ile bei yake ilikuwa chini kuliko ATCL hili haliitaji ligi kama una utimamu wa akili
 
Wakati fastjet wapo tz waliwezaje hadi mkawatimua?.

Hiyo ndiyo mtoa mada anasema, shida akili zimeganda.
Mimi nimetolea wakati fastjet ikiwa Tanzania miaka zaidi kumi iliyopita ila mtu anakuletea mambo ya fastjet ya huko zimbabwe tena mwaka 2026
 
Kama wateja sio sababy ya kupata hasara unadhani ni sababu ipi inayolifanya shirika kupata hasara
Kukosa abiria ni sababu ndogo sana harafu kukosa abiria sio shirika la tz pekee hii ni changamoto mashirika yote duniani.
Kwaz Tz sababu kuu ni hizi
1. Usimamizi
2 engine mbovu (gharam za kuleta mafundi nje.) Etc

Lakin mwazo nilisema sio kwamba faida hamna kabs lakn ni faida isiyo ya moja kwa moja kweny shirika.
So faida ipo kweny uchumi wa nchi na pato la taifa kuongezeka.
 
Kukosa abiri ni sababu ndogo sana harafi kukosa abiri sio shirika la tz pekee hii changamoto mashirika yote duniani.
Kwaz Tz sababu kuu ni hizi
1. Usimamizi
2 engine mbovu (gharam za kuleta mafundi nje.) Etc

Lakin mwazo nilisema sio kwamba faida hamna kabs lakn ni faida isiyo ya moja kwa moja kweny shirika.
So faida ipo kweny uchumi wa nchi na pato la taifa kuongezeka.
Ndo maana mwanzoni magufuli aliambiwa aachane na biashara za ndege awaachie private investors ila akakaza fuvu
Hiyo ni ngumu kwa mambo mengi kikubwa ni management ambayo sisi waafrika tumefeli
 
Sababu hujui abc za biashara
Ni bora nicharge elfu 60 nikiwa nauhakika wa watanzania million 50 wanaweza afford kuliko laki 8 huko ambako mda mwingine itanibidi niwe nahairisha mda wa safari ili kupata watu
Mkuu ndege sio ya kila mtu,,washikilie hapo hapo kwenye bei juu,,
Msitake kushusha heshima ya ndege...
 
Back
Top Bottom