Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,020
- 2,451
Sahvi kuna monopoly kwa mbaliLeo kuna makampuni mangapi yanayo operate njia moja na ATCL locally? Lete bei zao uone
Sahvi kuna monopoly kwa mbaliLeo kuna makampuni mangapi yanayo operate njia moja na ATCL locally? Lete bei zao uone
Shirika linapata Hasara sababu nyengine kabisa, mkuu barafu alishaongea mengi humu kuhusu uendeshaji ndege kafukue nyuzi zake.Kumbuka na hizi bei ulizozitaja shirika linapata hasara ndo maana nikasema bei ziwe chini zaidi ya hapo
Lengo la uzi ni bei kuwa sawa /kuwa na utofauti mdogo na magari kama njia ya kulifanya shirika kupata faida
Keyword ofa, si bei halisi, kwa ofa hata ATCL wanazo hizo,Fastjet waliwezaje maana nauli zao zilikua zinafika mpaka 80,000 Dar Mbeya
Hujui ukipunguza bei unaongeza wateja wengi sana kuliko waliokuwepoShirika linapata Hasara sababu nyengine kabisa, mkuu barafu alishaongea mengi humu kuhusu uendeshaji ndege kafukue nyuzi zake.
Pia ATCL hawana wateja wachache wanahudimia wateja milioni 1.4 kwa mwaka, roughly wateja kama 3500-4000 kwa siku, kwa shirika letu ambalo ni changa lenye ndege chache tayari Lina wateja.
Kupunguza bei hapo ni disaster.
Mfano wa nyuzi unayotakiwa kusoma
Wakati tunaendelea kumpongeza Rais JPM kwa juhudi zake za kufufua shirika la ndege Tanzania(ATCL) tujipe na muda wa kutafakari pia mambo mengine na "kuhoji" kwa nia njema ya kutuondoa hapa tulipo kwenda mbele.Kuhoji kwetu ichukuliwe kama changamoto ya kulihuisha shirika letu na si kuliangamiza.Isije ikawa kuna watu hawamshauri vizuri Mzee au wanataka kumuingiza kwenye historia ya walioshindwa kuirudisha ATCL angani kama miaka ya 1980.
Rais JPM kwa mara moja amenunua ndege aina ya Bombardier Dash8-Q400(Next Generation),na sasa ametoa ahadi ya kuleta ndege nyingine aina ya Bombardier...
- barafu
- Replies: 185
- Forum: Jukwaa la Siasa
Unaleta tangazo la 2025 decKeyword ofa, si bei halisi, kwa ofa hata ATCL wanazo hizo,
View attachment 3682902
Unatakiwa uweke bei ambazo watanzania million 20 wanaweza afford hapo ndo shirika litapata faidaUna hoja usikilizwe, ni bora kutoza fare ambayo ni affordable ukapata customer wa kutosha in the long run kuliko kuwa na fare kubwa ambayo inasababisha kukosa wateja na kuwa na soko gumu, nakumbuka kipindi Cha fastjet walikuwa wanatoza affordable fare kwa route zao na walikuwa na wateja wengi kabla ya chokochoko za serikali kuiondoa kabisa kwenye ramani hapa nchini
Wabongo wengi wanapenda kusifia vitu bila kuvifuatilia kwa kina. Wanatia mashaka sana.Na kuna watu wanawatetea sema tuna nchi ya ajabu sana
Nyie pia si mnaleta bei za ofa, nimekuonesha bei za fast jet kwa ushahidi wa thread kibao humu jukwaani umekaa kimya unadakia comment nyengine kuprove kitu ambacho hakikuepo.Unaleta tangazo la 2025 dec
Point sio offa inatakiwa iwe ndo bei za kila siku
Kuongeza wateja hakumaanishi unapata faida, mfanyabiashara yoyote analijua hili,Hujui ukipunguza bei unaongeza wateja wengi sana kuliko waliokuwepo
O00000 kabisa weweSasa we huoni ukichajI hela ndogo na hasara nayo itazidi? Solution ya kibiashara ni wauze ndege sababu biashara hawawezi, na sio kupunguza nauli, kwani hasara ndio itazidi kuwa kubwa,
Wla huhitaji kuwa na akili kivile kujua cost ya ndege kwa saa,
Mfano Airbus A220 y Air Tanzania cost per hour ni baina ya Dola 6000 Hadi 8000 hivi kwa saa, roughly hela za madafu milioni 20 kila saa.
Safari kama ya Dodoma ni saa na nusu so cost ni kama milioni 30 hivi.
Kwa nauli yako ya 60,000 ina maana hapo Una Kam 7,800,000 full seat umejaa, unakula Hasara kama milioni 22 hivi kila trip,
Kwa Idadi ya ndege 16 tupate Atleast Hasara milioni 300 kwa siku na si chini ya Bilioni 100 Hasara kwa mwaka.
Hio ni ya ndege Tu kui operate bado wafanyakazi na mambo mengine. So akili kisoda tuambie Una approve vipi Hasara ya zaidi ya Bilioni 100 ili Tu kila MTU apande ndege? Kuna mambo mengi Bilioni 100 inaweza kufanya.
Unafananisha toyota bidhaa na huduma (sercvices) haya ndo maajabuKuongeza wateja hakumaanishi unapata faida, mfanyabiashara yoyote analijua hili,
Ni kama umwambie Toyota auze V8 kwa Milioni 1 atapata wateja wengi, yes atapata ila watafunga kiwanda ndani ya mda mchache sababu hasara itakua kubwa.
Comment ya juu nishakupa safari ya lisaa limoja na nusu si Chini ya Milioni 30 inacost kurusha ndege tu hapo hujaweka gharama nje ya operation, kwa ndege yenye roughly siti 200 angalau 150K ndio una break even kwenye operational tu,
Nimekaa kimya ila cha ajabu unareply sms zangu tena kwa kuniquote how is it possibleNyie pia si mnaleta bei za ofa, nimekuonesha bei za fast jet kwa ushahidi wa thread kibao humu jukwaani umekaa kimya unadakia comment nyengine kuprove kitu ambacho hakikuepo.
Hio bidhaa huduma Ina fixed cost, unapokua revenue yako ni Chini ya fixed cost ni wehu unafanya sio biashara.Unafananisha toyota bidhaa na huduma (sercvices) haya ndo maajabu
Comment zangu zote nakujibu wewe unae niquote, vice versa is true wewe ndio una quote comment zangu hata ninazojibu wengine, jiangalie kwenye kiio kwanza.Nimekaa kimya ila cha ajabu unareply sms zangu tena kwa kuniquote how is it possible
Bei za ATCL ni kubwa huu ni ukweli ambao huwezi badilisha kwa kujaribu kuutafutia lugha nzuri
Kwenye ofa inawezekana kwanini isiwe permanent?Keyword ofa, si bei halisi, kwa ofa hata ATCL wanazo hizo,
View attachment 3682902
Biashara haipo hivyo, ofa it's there kuvutia tu wateja haimaanishi unapata faida. Ndio maana ofa haidumu muda mrefu. Assume nimenunua balo langu la mtumba ndani kuna Nguo 100, balo nimenunua laki 1 Ina maana kila Nguo gharama yake ni 1000, Mimi nauza Nguo 2000, nimeuza Nguo zangu 80 Ina maana tayari nimepata 160,000 Nina faida 60,000, so Nguo zilizobakia naweka sale nauza 500, napata hasara 500 hapo kila Nguo ila sababu nimesharudiaha hela yangu kwa Nguo za awali, natumia hio chance kujitangaza.Kama
Kwenye ofa inawezekana kwanini isiwe permanent?
Kwenye ofa inawezekana kwanini isiwe permanentKeyword ofa, si bei halisi, kwa ofa hata ATCL wanazo hizo,
View attachment 3682902
Hiyo unayoita ofa ya fast jet ilikua ina miaka zaidi ya mi3 waliwezajeBiashara haipo hivyo, ofa it's there kuvutia tu wateja haimaanishi unapata faida. Ndio maana ofa haidumu muda mrefu. Assume nimenunua balo langu la mtumba ndani kuna Nguo 100, balo nimenunua laki 1 Ina maana kila Nguo gharama yake ni 1000, Mimi nauza Nguo 2000, nimeuza Nguo zangu 80 Ina maana tayari nimepata 160,000 Nina faida 60,000, so Nguo zilizobakia naweka sale nauza 500, napata hasara 500 hapo kila Nguo ila sababu nimesharudiaha hela yangu kwa Nguo za awali, natumia hio chance kujitangaza.
Ingia Ai kazi rahisi tu, google ndege yoyote ya ATCL angalia operation yake kwa saa inacost kiasi gani, mafuta, wafanyakazi etc halafu angalieni na bei zenu mnazotaka.
Na assume kama unataka kuelewa, kama lengo ni ubishani sina la kuongezea.
HakikaUnatakiwa uweke bei ambazo watanzania million 20 wanaweza afford hapo ndo shirika litapata faida