mzee msoko
Senior Member
- Jan 30, 2020
- 113
- 220
- Thread starter
-
- #141
WI-FI SMART CAMERA ni camera ambayo inazunguka 360°nyuzi pande zote juu na chini,ikiwa na uwezo wa kuwasha taa na kuzima kupitia App yake.Samahani , .naomba kuelezewa hapa hizo Wi-Fi bulb zinaoperate vipi
Je gharama zake ? Je mkoani nazipataje ?
Asante mzee msoko
Set nzima inakuwa imebeba vitu gani mkuu?WI-FI SMART CAMERA ni camera ambayo inazunguka 360°nyuzi pande zote juu na chini,ikiwa na uwezo wa kuwasha taa na kuzima kupitia App yake.
Camera hii unaweza kuitumia ukiwa eneo husika ulilofunga camera ama ukiwa mbali na eneo ilipo camera.
Ili kuweza kutumia wi-fi smart camera itakulazimu uwe na ROUTER ya 4g ambayo itakuwezesha kutumia camera yako bila shida.
Gharama ya seti nzima ni 220,000/=
Delivery ipo pasina shaka.View attachment 2678321
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Camera 1,4g router na holderSet nzima inakuwa imebeba vitu gani mkuu?
Hiyo router inafanya kazi Kwa camera ngapi? au kila camera na router yake
Akikujib nistueMoja ya biashara ambayo wateja tunapigwa sana ni hii
Jaribuni kupita Alibaba muone hizo Camera zinauzwaje ndio mtajua jinsi gani hawa jamaa wanatuibia aisee
Mbona siku hizi bei zimeshuka sana.Moja ya biashara ambayo wateja tunapigwa sana ni hii
Jaribuni kupita Alibaba muone hizo Camera zinauzwaje ndio mtajua jinsi gani hawa jamaa wanatuibia aisee
Na kwanini usinunue huko alibaba??Moja ya biashara ambayo wateja tunapigwa sana ni hii
Jaribuni kupita Alibaba muone hizo Camera zinauzwaje ndio mtajua jinsi gani hawa jamaa wanatuibia aisee
Haibagui idadi ya camera ulizofunga,yenyewe ina operate idadi ya camera ulizonazo na wakati huo unaweza itumia kama personal Wi-FiHiyo router inafanya kazi Kwa camera ngapi? au kila camera na router yake
Agiza mzigo uingize nchini kwanza,then urudi kuleta feedback hapaMoja ya biashara ambayo wateja tunapigwa sana ni hii
Jaribuni kupita Alibaba muone hizo Camera zinauzwaje ndio mtajua jinsi gani hawa jamaa wanatuibia aisee
Kwa sasa nilistop kuzileta sababu nyingi zinakuwa hazina straight network na kufanya mtumiaji ashindwe kutumia kwa uhuru. Nyingi wameandika zinapokea 4g vizuri lakini kwa setup zake ina command utumie 2g/3g pekeeSaa za ukutani zenye camera unazo?