johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sio kazi ya Spika kusawazisha hoja hivyo, Spika anatakiwa awe moderator tu wa mjadala.Tujifunze kwenye mabunge ya Jumuiya ya MadolaMbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC akanyimwa na leo tunalia mfumuko wa bei kila kona ya nchi.
Spika Tulia amesema mh Tabasamu ana hoja nzito sana lakini ni lazima tuangalie sheria ya procurement inasemaje.
Ni sisi wabunge ndio tumetunga hizo sheria, je zinafuatwa na serikali? Na kama hazifuatwi hali inayopelekea bei kupanda hovyo basi kuna tatizo kubwa, amesisitiza Dkt. Tulia.
Source: TBC
Huwezi kutumia approach moja kila muda, sisi sio marobot. Approach zinapaswa kubadilika kulingana na mazingira.Tujichunguze na hayo yanasemwa everytime,tunaweza ingiza inchi kwenye uhaba mkubwa kuliko sasa,sheria zinazozungumzwa sasa ndio zilizooperate mpaka bei ikashuka hadi 1,200/- na watu tukafurahi,leo hii zinaonekana hazifai,tukianza kuingiza mafuta kiholela hapo ndio watakapovicha mafuta live live,
HATA KAMA SERIKALI HAIZIFUATI SHERIA BUNGE HALINA UWEZO WA KUIFANYA SERIKALI IFUATEMbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC akanyimwa na leo tunalia mfumuko wa bei kila kona ya nchi.
Spika Tulia amesema mh Tabasamu ana hoja nzito sana lakini ni lazima tuangalie sheria ya procurement inasemaje.
Ni sisi wabunge ndio tumetunga hizo sheria, je zinafuatwa na serikali? Na kama hazifuatwi hali inayopelekea bei kupanda hovyo basi kuna tatizo kubwa, amesisitiza Dkt. Tulia.
Source: TBC
Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC akanyimwa na leo tunalia mfumuko wa bei kila kona ya nchi.
Spika Tulia amesema mh Tabasamu ana hoja nzito sana lakini ni lazima tuangalie sheria ya procurement inasemaje.
Ni sisi wabunge ndio tumetunga hizo sheria, je zinafuatwa na serikali? Na kama hazifuatwi hali inayopelekea bei kupanda hovyo basi kuna tatizo kubwa, amesisitiza Dkt. Tulia.
Source: TBC
Swala la bei ya mafuta kupanda na kushuka ni kote duniani na linatoka na bei ya mafuta duniani. Tatizo ni pale bei inapopanda kama sasa hivi kutokana na vita kati ya Urusi na Ukraine serikali inafanya maamuzi gani kupunguza maumivu kwa raia wake.Huwezi kutumia approach moja kila muda, sisi sio marobot. Approach zinapaswa kubadilika kulingana na mazingira.
Ndio maana unaona hata serikali zingine zimekata baadhi ya bajeti yake kuweka ruzuku ili kupunguza Hilo gap
Ujanja ujanja mwingi sana kwenye nchi yetu na anae umia ni raia wa kawaida.Kwamba waliopata tenda wali quote bei mara mbili ya TPDC....
Hapo kweli ufisadi lazima uwepo,,maana teni pacenti zitakuwa zilikuwa nyingi sana
Ujanja ujanja mwingi sana kwenye nchi yetu na anae umia ni raia wa kawaida.
Hakuna bunge la tanzanua linatubga sheria bali ni ruber stamp ya bills zinazoandaliwa na Wizara tu.Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC akanyimwa na leo tunalia mfumuko wa bei kila kona ya nchi.
Spika Tulia amesema mh Tabasamu ana hoja nzito sana lakini ni lazima tuangalie sheria ya procurement inasemaje.
Ni sisi wabunge ndio tumetunga hizo sheria, je zinafuatwa na serikali? Na kama hazifuatwi hali inayopelekea bei kupanda hovyo basi kuna tatizo kubwa, amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: TBC
Tulia bwana. Huyo ndio mtabe wa sheria tunayeambiwa🤣🤣Bunge halijawahi kutunga Sheria hapa Nchini Tanzania, Serikali ndiyo inatunga sheria na kupeleka Bungeni zikapigiwe makofi na ndiyoooooooooo.
Kwani bunge letu siyo la Jumuiya ya Madola?Sio kazi ya Spika kusawazisha hoja hivyo, Spika anatakiwa awe moderator tu wa mjadala.Tujifunze kwenye mabunge ya Jumuiya ya Madola
Unazijua kazi za bunge kwa mujibu wa katiba?Spika aache upotoshaji wa kijinga, sheria zinatungwa na serikali, hilo bunge ni rubber stamp tu. Wao walishakubali Bunge kuwa kibogoyo, na yeye akabariki kuwa serekali haiwezi kushinikizwa na bunge kutekeleza jambo. Hivyo anapaswa kukaa kwa kutulia.