Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria za sisiemu hajizahawi kumnufaisha mwananchi. Zimekaa kibinafsi sana, zimekuwa za kunenepesha mifuko ya wachache.Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC akanyimwa na leo tunalia mfumuko wa bei kila kona ya nchi.
Spika Tulia amesema mh Tabasamu ana hoja nzito sana lakini ni lazima tuangalie sheria ya procurement inasemaje.
Ni sisi wabunge ndio tumetunga hizo sheria, je zinafuatwa na serikali? Na kama hazifuatwi hali inayopelekea bei kupanda hovyo basi kuna tatizo kubwa, amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: TBC
Ni kweli kuna shida kubwa.Kwa nini bei za mafuta zipande kiasi hicho,wakati mafuta yetu hayatoki Urusi yanatoka Uarabuni?Na hata kama yangetoka Urusi,mbona uchimbaji wa mafuta Urusi hauja athirika,infact Urusi ime-offer kuuza at a discount to India mafuta!Tuna-peliwa na wafanyabiashara,na Serikali lazima igangamale kuwadhibiti wafanyabiashara wa mafuta,vinginevyo hatutawaelewa.Wafanyibiashara wanatumia kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine kutuibia,lakina kakuna tatizo la mafuta.Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC akanyimwa na leo tunalia mfumuko wa bei kila kona ya nchi.
Spika Tulia amesema mh Tabasamu ana hoja nzito sana lakini ni lazima tuangalie sheria ya procurement inasemaje.
Ni sisi wabunge ndio tumetunga hizo sheria, je zinafuatwa na serikali? Na kama hazifuatwi hali inayopelekea bei kupanda hovyo basi kuna tatizo kubwa, amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: TBC
Huo ndio upuuzi.. Kama wana tunga sheria hazifuatwi, kwanini wasitumie njia ya pili ya kuisimamia serikali?Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC akanyimwa na leo tunalia mfumuko wa bei kila kona ya nchi.
Spika Tulia amesema mh Tabasamu ana hoja nzito sana lakini ni lazima tuangalie sheria ya procurement inasemaje.
Ni sisi wabunge ndio tumetunga hizo sheria, je zinafuatwa na serikali? Na kama hazifuatwi hali inayopelekea bei kupanda hovyo basi kuna tatizo kubwa, amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: TBC
Inaonyesha Kuna Mambo makubwa serikalini..😐Sasa hivi nae atatupiwa dongo ajiuzuru
Unazijua kazi za bunge kwa mujibu wa katiba?
Unataka amweke sukuma gang nini? Mkae jwa kutulia mungu wenu kaisha kufaMh. Rais, tunakuomba sana toa Makamba haraka plz
Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC akanyimwa na leo tunalia mfumuko wa bei kila kona ya nchi.
Spika Tulia amesema mh Tabasamu ana hoja nzito sana lakini ni lazima tuangalie sheria ya procurement inasemaje.
Ni sisi wabunge ndio tumetunga hizo sheria, je zinafuatwa na serikali? Na kama hazifuatwi hali inayopelekea bei kupanda hovyo basi kuna tatizo kubwa, amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: TBC
Bei imepanda lakini kiwango hiki ni sawa?Swala la bei ya mafuta kupanda na kushuka ni kote duniani na linatoka na bei ya mafuta duniani. Tatizo ni pale bei inapopanda kama sasa hivi kutokana na vita kati ya Urusi na Ukraine serikali inafanya maamuzi gani kupunguza maumivu kwa raia wake.
Nitakupa mfano, kuna nchi zimesimamisha kodi ya mafuta kwa wanafanya biashara wa mafuta kwa mda maalum hili wapunguze bei ya mafuta. Na walivyo toa kodi tu wakawapa onyo wenye petrol station zote kwamba wasipopunguza bei ya mafuta wananyang’anywa leseni.
Ni vizuri serikali ikae chini na kuangalia jinsi gani wanaweza kuwapunguzia mzigo raia kwa kushirikiana na wafanya biashara wa mafuta.
Tufanye maamuzi kwa ajili ya maendeleo sio kwa kukomoana. Njia za kukomoana anaye umia ni raia wa chini.
Wengi hawampendi Hangaya inayoonekana.Inaonyesha Kuna Mambo makubwa serikalini..😐
Eti January ana masters tena ya USA.Mh Hamis Tabasamu ni darasa la saba ila anauwezo wa kujemga hoja ya msingi kuhusu Bei za Mafuta kuliko January Makamba.
Unamshangaa Janu, yule Chenge kasoma Havard!Eti January ana masters tena ya USA.
Yaani Puma na Tpdc ambao hata mtaji hawana wanategemea serikali ndio tuwaamini? Wakiwa peke yao hao itakuwa kama Tanesco..Mbunge wa Sengerema Mh Tabasamu amesema tenda za mafuta wangepewa TPDC na Puma ambako serikali ina hisa zake basi bei ya mafuta isingepanda kwa kiasi ilichopanda.
Tabasamu amesema waagizaji wa mafuta wanaoleta sasa bei yao ni mara mbili ya ile waliyoquote TPDC wakati wanaomba tenda. Lakini TPDC akanyimwa na leo tunalia mfumuko wa bei kila kona ya nchi.
Spika Tulia amesema mh Tabasamu ana hoja nzito sana lakini ni lazima tuangalie sheria ya procurement inasemaje.
Ni sisi wabunge ndio tumetunga hizo sheria, je zinafuatwa na serikali? Na kama hazifuatwi hali inayopelekea bei kupanda hovyo basi kuna tatizo kubwa, amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: TBC
Bora hata chenge uwezo wake wa kupambanua mambo haujawahi kutiliwa mashaka na yeyote.sasa huyu February, dah hadi aibu.Unamshangaa Janu, yule Chenge kasoma Havard!
Master in conflict resolution na mafuta wapi na wapi?Eti January ana masters tena ya USA.
Husawa utatoka wapi wakati serikali haiko makini katika kusimamia maslahi ya wananchi?
Spika Naye ana comprise dhidi ya serikal baada ya kuwa moderateSio kazi ya Spika kusawazisha hoja hivyo, Spika anatakiwa awe moderator tu wa mjadala.Tujifunze kwenye mabunge ya Jumuiya ya Madola