Bei za Mafuta: Spika Tulia asema Bunge ndio linatunga Sheria sasa kama Serikali haitekelezi basi kuna tatizo kubwa

Mh. Rais, tunakuomba sana toa Makamba haraka plz
 
Sheria za sisiemu hajizahawi kumnufaisha mwananchi. Zimekaa kibinafsi sana, zimekuwa za kunenepesha mifuko ya wachache.
 
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa kwenye uagizaji wa mafuta kuna ulaji mnono hawawezi kupaachia kwa urahisi.anaeumia ni mwananchi wa mwisho masikini. Hakuna Haki Duniani
 
Ni kweli kuna shida kubwa.Kwa nini bei za mafuta zipande kiasi hicho,wakati mafuta yetu hayatoki Urusi yanatoka Uarabuni?Na hata kama yangetoka Urusi,mbona uchimbaji wa mafuta Urusi hauja athirika,infact Urusi ime-offer kuuza at a discount to India mafuta!Tuna-peliwa na wafanyabiashara,na Serikali lazima igangamale kuwadhibiti wafanyabiashara wa mafuta,vinginevyo hatutawaelewa.Wafanyibiashara wanatumia kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine kutuibia,lakina kakuna tatizo la mafuta.
 
Huo ndio upuuzi.. Kama wana tunga sheria hazifuatwi, kwanini wasitumie njia ya pili ya kuisimamia serikali?
Au kwa vile wanajua wamefikaje hapo bungeni?
 

Mh Hamis Tabasamu ni darasa la saba ila anauwezo wa kujemga hoja ya msingi kuhusu Bei za Mafuta kuliko January Makamba.​

 
Bei imepanda lakini kiwango hiki ni sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Puma na Tpdc ambao hata mtaji hawana wanategemea serikali ndio tuwaamini? Wakiwa peke yao hao itakuwa kama Tanesco..

Unaweza ona hapo pengine wakati wa kufanya bid walikoti bei chini ila hawakuwa na uhakika na mwenendo wa soko kwa hiyo waliowapa tenda wakaona unaweza ingizwa Chaka afu mafuta yasije..

Pili inawezekana ndio ile Shabiby anasema maofisa wa Ewura wanahongwa wakati wa tenda.
 
Sio kazi ya Spika kusawazisha hoja hivyo, Spika anatakiwa awe moderator tu wa mjadala.Tujifunze kwenye mabunge ya Jumuiya ya Madola
Spika Naye ana comprise dhidi ya serikal baada ya kuwa moderate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…