Bei za Mafuta zapanda kuanzia Septemba 1, 2021

Huyu mama anataka Nini kutoka kwetu
 
"Kuna nchi Rais aliwahi kuikimbia nchi kwa sababu ya bei ya mafuta"
 
Nchi imekabidhiwa kwa wahuni na “know-it-all” kama Madelu na haya ndio matokeo yake

Watu wapo busy wanachota na kukwapua pesa za maandalizi ya 2025
 
Hapa ndipo tunapo takiwa kuweka Siasa mbali na Uchumi, tumwombe sana Mungu hekima na busara viwawie viongozi wetu katika utendaji wao.
 
Ile 30% waliyopunguza kwenye tozo ndo imekuja kufidiwa huku? hawa nchi imeshawashinda waitishe uchaguzi upya......
Eeeh bwana, mkilalamika huku, anapunguza huko, anatumbukiza kule,anasikilizia kelele😅

Kashusha paye, kajilipa kwa tozo na miamala, mkalalamika, sasa kashusha huko, kaongeza kwenye wese🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…